ntamwangah
Senior Member
- Jan 16, 2013
- 164
- 23
Hii ni kwa mujibu wa Taarifa ya Bunge; Waziri wa Viwanda na Biashara, Abdalah Kigoda amefariki leo nchini India alikokuwa amelazwa kwa matibabu.
Balozi Kijazi amethibitisha taarifa hizi na familia imethibitisha kutokea kwa msiba huu.
Apumzike kwa amani
Pengine unatabiriI.L.W.R. Kwa heri comrade kinana, Mmoja kati ya wanasiasa watulivu kabisa nchini. Mungu amekupenda zaidi.