TANZIA Waziri wa zamani, Bakari Mwapachu afariki dunia

Apumzike kwa Amani.

Lakini na huyo msemaji au Mwandishi naomba kuuliza Ubalozi alipata lini
 
Pole nyingi kwa familia ndugu na jamaa katika kipindi hiki kigumu cha majonzi inalilah wa inayilah rajioon.
 
Baba wa taifa njoo huku uone CCM wamemsukumiza saikatriki kesi Sasa watu wanaisha.
Acha ushamba au ujinga maandiko yameandikaje kuhusu umri wa Mtu kuishi, umri ulisha enda na magonjwa yakiutuuzima nayo yapo.
 
magonjwa ya uzee tu hayo.pumzika kwa amani mzee.

Katika zama hizi wenye umri 50+ jihesabuni kuwa (serikali hii na genge lao isipokuwa wao na jamaa zao) wengine wote hamna thamani.

Ndiyo maana watahalalisha vifo vya kila mzee hata kama ni vya ugonjwa wasiopenda kuutamka.
 
T Aliyewahi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria wa Tanzania na mbunge wa Tanga mwaka (2000-2010), Balozi Bakari Harith Mwapachu amefariki dunia leo alfajiri Februari 12, 2021, katika Hospitali ya Taifa Muhimbili alikokuwa akipatiwa matibabu, familia yake imethibitisha.

More to folllow.

 
Chanzo cha kifo ni nini mkuu ?
 
Thanks
 
Kamaliza safari yake. Poleni wafiwa Mungu awape wepesi na nguvu pamoja na faraja wakati huu mgumu mnaopitia.
 
Poleni wafiwa, Mwenyezi Mungu ampunguzie adhabu za kaburi Mzee Bakari Mwapachu
Hakuna kitu kama hicho, huwezi kuwa MaCCM usibanwe na kaburi, wamedhulumu na wa naendelea kutudhulumu sana Watanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…