TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

Nafikiri katika bandiko kuna hii sentensi, “given the pandemic situation....” inatosha kujibu swali lako.
 
Hivi ni mimi tu sijaelewa sababu za kifo au kuna mwingine naye hajaelewa
 
Teknolojia ni ya kuiogopa sana,kabla ya kuzungumza jambo tulitafakali tulizungumzalo.....ila mwendo ameumaliza miaka 81 si hapa,maisha ya jasho,raha na damu ameyapitia
 

Apumzike kwa amani Basil Mramba.

Ninakazia hajafa kwa Corona.

Hiyo ni cardiac arrest. Itakuwa hitilafu kwenye mfumo wa umeme wa moyo.

Kwani Prof. Matobolwa anasema je?
 
Corona ni janga la dunia.
tuchukue sana tahadhari haswa wale wanao sumbuliwa na magonjwa sugu kama vile;
1. KISUKARI
2. UKIMWI
3. UGONJWA WA MOYO
4. PRESHA YA KUPANDA
5. TB.
 
Mbingu ipo na kuzimu ipo, mtu baada tu ya kufa ni hukumu, waebrania 9:27, je! Umejiandaaje maisha yako baada ya kufa, moto wa jehannum unatisha, Mali za dunia hiii, vyeo, elimu, na tamaa za duniani zisije zikakutenga na upendo wa Mungu, Yesu anatupenda sana, tumkri yeye na kuishi maisha matakatifu tukiwa duniani!!!
 
Kwahiyo mi fedha yote ile aliyofisadi ameiacha?
 
Familia imethibitisha ni kweli. May His Soul RIP mzee aliyesema "ikibidi sisi wanyonge tutakula nyasi tu ila ni lazima chopper la Rais linunuliwe"

Mwigulu naye anatuambia tusio iweza/taka TOZO YA UZALENDO tuhamie Burundi!!!!
 
81yrs old, a life well lived. Pole kwa familia, ndugu na marafiki wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…