Shehullohi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2020
- 3,753
- 3,685
Watarisi watotoInna lillah wainna ilaihyi rajiun.
Dunia si lolote wala chochote, tukana watu, iba, limbikiza mali nk, mwisho vyote utaviacha.
Wale watoto wa Mama Anna wa Nani?Pole wafiwa...
Ndio hivyo, ulovyokuja ndivyo unavyoondoka. Ndio njia yetu soteKwahiyo mi fedha yote ile aliyofisadi ameiacha?
Haiondoi ukweli kuwa ameshiriki kutulisha nyasi.Apumzike kwa amani, habari ya kula nyasi ilishapita.
Lakini wamekula mema ya nchi Hadi uzee, hakuna hasara hapo.Ni Covid inahusika au ni magonjwa mengine?
Nakumbuka huyu ndie aliesema hata watanzania wakila nyasi ni lazima ndege ya Raisi inunuliwe.
Leo hii yeye na aliekuwa boss wake(Mzee Mkapa) wote hawapo.
Tuna mengi ya kujifunza katika hii dunia.
Poleni wafiwa.
Uko sahihi umri ndo umemuua. 81 parefuKwa huo umri wake wa 81yrs hamna haja kuuliza kilicho muua
NatuFamilia imethibitisha ni kweli. May His Soul RIP mzee aliyesema "ikibidi sisi wanyonge tutakula nyasi tu ila ni lazima chopper la Rais linunuliwe"
Hakuna siku zilizopungua, amezidisha miaka 11 alikuwa anakula bonus tu huyu.Amejipunguzia siku za kuishi kwa kukubali chanjo
NatuFamilia imethibitisha ni kweli. May His Soul RIP mzee aliyesema "ikibidi sisi wanyonge tutakula nyasi tu ila ni lazima chopper la Rais linunuliwe"
Yes he was right and correct many Tanzanians are not productive the solution fir them is to continue eating grass for the nation to prosper and develop.We beautifully remember "kula nyasi"we will never forget that