Kujifunza mmejifunza mengi na mmefundishwa mengi ,shida ni kuishi au kutendea kazi kile ulichojifunza.Ni Covid inahusika au ni magonjwa mengine?
Nakumbuka huyu ndie aliesema hata watanzania wakila nyasi ni lazima ndege ya Raisi inunuliwe...
Daaaah! Heri yenu ninyi mlio elewa KILICHOANDIKWA!Nimependa hayo maneno ya mwanaye, aisee wakuu tusomeshe watoto wetu waje watuenzi vizuri, RIP.
Wacha na yeye akatafune nyasi huko kuzimu.aliyesema "ikibidi sisi wanyonge tutakula nyasi tu ila ni lazima chopper la Rais linunuliwe"
Nakumbuka siku moja Profesa Lipumba akihojiwa na chombo kimoja cha habari akiielezea hiyo ndege alisema.... "Tunaambiwa sifa kuu ya ndege hiyo, ina chumba cha kufanyia mazoezi. Rais wetu, amechoka kufanyia mazoezi ardhini. Hivyo, ukiiona ndege ipo angani, na Mkapa yupo ndani, basi ujue, Rais wetu yupo busy, anafanya mazoezi!"Mume mwenzie alimpa uwaziri wa fedha na yeye akamnunulia ndege yenye gym ndani.
Ha ha ha Africa ni shamba la bibi.Nakumbuka siku moja Profesa Lipumba akihojiwa na chombo kimoja cha habari akiielezea hiyo ndege alisema.... "Tunaambiwa sifa kuu ya ndege hiyo, ina chumba cha kufanyia mazoezi. Rais wetu, amechoka kufanyia mazoezi ardhini. Hivyo, ukiiona ndege ipo angani, na Mkapa yupo ndani, basi ujue, Rais wetu yupo busy, anafanya mazoezi....!"
Rip Basil. Yuendelee kumkumbuka kwa kupata chanjo "wajameni".Waziri wa Zamani, Basil Pesambili Mramba amefariki dunia leo agosti 17 akiwa anapatiwa matibabu regency hospital. Mramba alilazwa wiki mbili zilizopita kwa maradhi ya COVID-19.
Kifo chake kimesababishwa na Mshituko wa Moyo(Cardiac arrest)
Mramba aliwahi kuwa Waziri wa fedha, pia Waziri wa viwanda, biashara na masoko
View attachment 1895289
Basil Pesambili Mramba
Born: 15th May, 1940. Departed: 17th August, 2021. With great sadness, the Mramba’s Family hereby announce the passage of our beloved father, Basil Pesambili Mramba; A life so beautifully lived deserves to be beautifully remembered.
Mzee succumbed to illness at the Regency Medical Center earlier this morning, 17th August; 2021. Given the pandemic situation, the family accepts your sympathies and prayers and asks for privacy.
We will receive visits from Family Members ONLY at his residence on Mawenzi Road, Oysterbay. Further information and program will be shared at a later stage.
The Lord has given, and the Lord has taken away; May God rest his soul in eternal peace. Amen.
Godfrey B. Mramba.
View attachment 1895304
Huyu jamaa alichota mabillioni akiwa waziri. Akafungwa 2 years only. Yakikuwa matriloni enzi za Kijwete. Walikuwa wanachota tu wanavyopenda. Ni Kama sasa hivi chini ya Samia.Cc ccm
Rip mwana ROMBOJamaa amekuwa Waziri toka mwaka 1977
Acha aende tu kama ni bata amekula inatosha.Jamaa amekuwa Waziri toka mwaka 1977
Huyu jamaa alichota mabillioni akiwa waziri. Akafungwa 2 years only. Yakikuwa matriloni enzi za Kijwete. Walikuwa wanachota tu wanavyopenda. Ni Kama sasa hivi chini ya Samia.
Yeye na Yona waliiba matrilioni ya serikali na akafungwa. Rip Basil. Yuendelee kumkumbuka kwa kupata chanjo "wajameni".Rip Basil. Yuendelee kumkumbuka kwa kupata chanjo "wajameni".
Kweli wakongwe tupo wengi Mie kila jina lake likitajwa nakumbuka hiyo kauli ya kutufananisha na ng'ombe.Familia imethibitisha ni kweli. May His Soul RIP mzee aliyesema "ikibidi sisi wanyonge tutakula nyasi tu ila ni lazima chopper la Rais linunuliwe"
Fuatilia arufishe matrioni aliyochkua?????Kuna taarifa kuwa waziri wa zamani wa fedha Basil Pesambili Mramba amefariki leo asubuhi katika hospitali ya Regency.
Ngoja nifuatilie zaidi!