TANZIA Waziri wa zamani, Basil Pesambili Mramba afariki dunia kwa ugonjwa wa COVID-19

Mzee umeandika vitu vizito vizito sana duh
 
huku sio kwetu tumekuja field tu, huko ardhini napo sio kwetu itafika siku tutatoka tena na hapo tutakutana na wapendwa wetu wote kuanzia babu wa kwanza mpaka mjukuu wa mwisho....tatizo siku hiyo tutakimbiana tena badala ya kukutana kwa furaha..
Kwanini tukimbiane tena!
 
Kwa hiyo cardiac arrest ndio uviko-19 tena, mbona sasa mnatuchanganya?
 
kwasababu ya kila mmoja kutotekeleza wajibu wake kwa mwenzie..
baba kwa mtoto, mtoto kwa baba, mume kwa mke, mke kwa mume so kila mmoja atataka kuokoka kwa kumuangushia msala mwenzake..
hapo ndo kukimbiana kunakuja..
Asante kwa maelezo yako, ingawa naamini kubwa zaidi ni hatima yetu kwa sisi kutotimiza wajibu wetu kwa mujibu ya malengo ya kuumbwa kwetu na Mungu.
 
Kwahiyo mnaleta mabo yale yale ya HIV, mtu anakufa kwa heart liver failure inayotokana na ARV halafu mnasema HIV, Corona nayo hivyo hivyo, mtu kafa kwa kiharusi mnasema Corona, haya sawa
 
Miaka aliyoishi inatosha 81 years old, ukizidi miaka hiyo unakuwa kero kwa família.
Haya ni mawazo ya kikomunisti. Wakomunisti ndiyo huwa wanapenda kuamua ni miaka mingapi inakutosha hapa duniani utafikiri wao ndiyo Mungu. Mkomunisti mawazo yake ni kuingilia maisha ya watu, kazi wa watu, vipato vya watu, mali za watu, afya za watu, na mengine mengi. Miaka 81 wala siyo mingi kwa dunia ya leo. Kuna viongozi wa nchi hapa duniani wenye umri zaidi kwa mfano Rais wa Lebanon Michel Aoun, miaka 87. Rais wa Palestina, Mahmoud Abbas, miaka 85 wote bado wanadunda.
 
"Bora wananchi wale nyasi lakini ndege ya raisi lazima inunuliwe"
Pesa za kuwaletea maendeleo wananchi unazichepusha kwa manufaa yako binafsi na familia.Nenda kamwambie Mola wako niliona bora ninunue ndege ya raisi hata wananchi wakila nyasi.
 
Huyu ndie aliyeua shirika la ndege,akaua reli ya tanga,ilipokufa reli ya tanga baada ya kuhamisha karakana ya reli mji wa tanga ukarudi nyuma.
Ktk watu yafaa makaburi yao yafungwe minyororo na huyu yumo.
Aliona bora ajenge lami hadi kijijini kwake kuliko kuunganisha lami dodoma mwanza.
 
Dunia tunapita tu, tuache tamaa ya kujilimbikizia mali kwa njia haramu na kuheshimu watu wa kawaida. Nakumbuka alisema hata ikibidi tule nyasi lazima ndege ya rais inunuliwe.
Kulimbikiza mali ni kuukimbiza upepo,unawaandalia watoto mali utadhani nawe uliandaliwa,then ukifa wanatapanya sababu ilikuja kwa haramu kuiba kodi za wananchi, watawala wa kizungu uandaa maisha ya Jamii nzima itanufaika ikiwemo vitukuu vyao.
Mwafrika uandaa maisha ya watoto wake at the end wajukuuu zake nao uja kuishia kwenye umasikini kama Jamii nzima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…