TANZIA Waziri wa zamani, Dkt. Pius Yasebasi Ng'wandu afariki dunia

Mungu ailaze roho
ya marehemu balozi Dr Pius Ng'wandu, moja ya wasomi wachache wa Tanzania, waliobahatika kusoma kwenye mojawapo ya vyuo vikubwa kabisa hapa duniani( Stanford University)
 
Comrade Ng'wandu wakati amejipatia jiko jipya limtunze uzeeni , kumbe na Baba wa Mbinguni Alikuwa anajiandaa kumuita .

Apumzike tu kwa amani .

Poleni wafiwa wote .

Taifa limepoteza ujuzi na uzoefu wake .

Tunamshukuru kwa utumishi wake .
 
RIP Mzee Ng'wandu.

Ila huyu mtoto Yuko fit Sana. Hii presha ya Mzee sijui ilisababishwa na nini
 
Apumzike kwa amani Mheshimiwa Pius Ng'wandu.

Mnamo mwaka 1986/87 akiwa Waziri wa Maji, alikuja shule ya sekondari tulikokuwa tukisoma; kama mgeni rasmi wa siku ya maji/mazingira duniani. Alipanda mti (plant a tree) kama kumbukumbu.

My impression of him was mtu ambaye hakuwa na mikiki wala makeke; a humble man.

Rest in peace Mheshimiwa Pius Ng'wandu.
 
Kale kabinti ndio kamerithi mafao ya Dr hapa dunian
Kalikuwa keshampigia hesabu kaka multiply, kaka divide, kaka minus, kakapata kumbe bado kidooogo naondoka na bingo
 
RIP mkuu...

He was old,

Matatizo ya pressure ni common kwa wazee kama yeye..

ila kwa kuwa watanzania ni watu wa kuunganisha matukio,basi tushaanza kusema yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…