Hapo kama alikuwa na wake wawili basi vita ya mali inafuka moto
😂😂😂Nyie mkiugua msifichage maradhi..... na we spika usema ugonjwa wako mapemaa hatutaki kishitukizwa sie
😂😂😂 napendaga anavyowekaga mdomo km anabeza kitu.Apumzike kwa amani huyu mzee...
Ingawa alikuwa na vijidharau lakini alikuwa mchapakazi mzuri...
Mchezo gani??Madem wa UDOM na St. John's watalia sana maana walizoea kumfanyia kale kamchezo kachafu
Huyu baba ana hatari yaani. KhaaahMakubwa kweli, Pamoja na kujimilikisha viwanja kama utitiri kwenye miji yote mikubwa.
🤡
😂😂😂 napendaga anavyowekaga mdomo km anabeza kitu.
ina maana huna ndugu, jamaa na marafiki ambao ni ccm wakifa usione uchungu?CCM yeyote akifa kwangu hiyo ni siku nzuri.
Mzee alwahi kuropoka sehemu kuwa starehe yake ni kutembea na vibinti vidogo vya shule na sharti vimnyonye mknd* wakiwa kwenye shughuli...Dodoma nzima anajulikana kwa huo mchezo na huenda viagra ndo imetoa matokeoMchezo gani??
Mkuu kufa ni kufa tu hakuna ufundiHawa madingi pamoja na uroho wao, waga wanajiandalia vizuri sana kesho zao. Niliona kwa Mzindakaya, alipokufa tuu, msimamizi wa mirathi akawa alishamteua akiwa hai, kugawa mali kama alivyotaka yeye. Kila mtoto, mke ana chake pale na hakuna kelele na mzee alikuwa na wake na watoto kibao.
Ukute tayari hapo kuna muongozo "Will" ameshaandika miaka kibao. Kila mtu anajua chake kiko wapi hapo. Hakuna wa kusumbua mwingine.
DuhMzee alwahi kuropoka sehemu kuwa starehe yake ni kutembea na vibinti vidogo vya shule na sharti vimnyonye mknd* wakiwa kwenye shughuli...Dodoma nzima anajulikana kwa huo mchezo na huenda viagra ndo imetoa matokeo