Wazo bunifu: Ma IT wa JF

Aisee HIV hatuwez kutengeneza kitu kama Alibaba ya kariakoo na wenye maduka wanapata direct connection na wateja na wasafirishaji
Bado mifumo ya fedha Bongo haijakaa sawa, na pia usanii still mwingi
 
kuna ideas ninazo kweny kilimo
napend kushirik
 
Inakuwaje?
Unapiga mahesabu lets say unahitaji mtaji wa Tsh 200M,
Gawanya aidha kwa bei unayotaka kuuza kila kipande cha hisa, lets say utauza kwa Tsh 1000 kila Kipande

Mahesabu
Mtaji / Bei ya kipande = Idadi ya Vipande

200 000 000 / 1 000 = 200 000

Hivyo utahitaji kuuza Vipande vya Hisa 200k kupata mtaji wako
Halikadhalika mwenye vipande vingi kwenye gawio la faida atapata fedha kubwa likewise kwenye vote power ya masuala mbalimbali yahusiayo kampuni atakuwa nayo kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…