Wazo Fyatu: Jaribio la Kumkinga Samia Linaendelea - Tutarudi Tulikotoka?

Huwezi ku enjoying uharibifu wa Mali za watu ambao ni raia wa kawaida kwa kuona ni Jambo la kawaida eti kisa hasira zako na CCM huo ni uhalifu
Hakuna anaye enjoy wala kuona ni jambo la kawaida na ndio maana tunasema tujiulize chanzo ni nini hadi tumefikia huku, kwa sababu bila ya hivyo kila mmoja ataona mwenzake anafurahia yaliyotokea kwamba wewe utaona si sawa watu binafsi kuharibiwa mali zao na unakuwa upo sahihi ila utaonekana unaona kawaida kwa watu kuuliwa na wengine wataona si sawa watu kuuliwa kiasi kile na wanakuwa wapo sahihi ila wataonekana wanafurahia mali za watu binafsi kuharibiwa.
 
Sipingi maandamano ila ninachopinga ni matumizi mabaya ya maandamano kupitia hayo maandamano vitu vingi vya watu vimeibiwa, Mali za watu zimevunjwa na miundombinu imeharibiwa hivi unachoma vituo vya mwendokasi wakati nawe una upanda hiyo mwendokasi wewe unadhani hii imekaa sawa?
Hizo ni hasira za muda mrefu ni bomu ambalo limefikia wakati wa kubutuka, nasema hivyo mkuu kwa sababu katika hii nchi hata hayo maandamano ya amani si yenye kuruhusiwa hapa nchini.

Mimi naamini watu wangekuwa wanaruhusiwa bila shida kufanya maandamano ya amani yenye kutaka kuonyesha hisia zao basi haya yasingetokea, ila kufanya maandamano hapa nchini ni kama kitu cha haramu ndio maana kuna muda yalizuiliwa kabisa.
 
Hakuna anaye enjoy wala kuona ni jambo la kawaida na ndio maana tunasema tujiulize chanzo ni nini hadi tumefikia huku, kwa sababu bila ya hivyo kila mmoja ataona mwenzake anafurahia yaliyotokea kwamba wewe utaona si sawa watu binafsi kuharibiwa mali zao na unakuwa upo sahihi ila utaonekana unaona kawaida kwa watu kuuliwa na wengine wataona si sawa watu kuuliwa kiasi kile na wanakuwa wapo sahihi ila wataonekana wanafurahia mali za watu binafsi kuharibiwa.
Unapokuwa unachangia hoja yoyote elewa Kwanza hii ndio sifa kuu ya msomi yoyote usikurupuke hoja ilikuwa nikupongeza maandamano yaliyofanyika kwamba ni kitu sahihi sisi wengine tukasema mbona mnazungumza maandamano ila Kuna eneo moja halizungumziwi suala la kuibiwa Mali za watu, uharibifu wa Mali pamoja na kuharibu miundominu Je hili mnaona kwenu sawa? Hoja ndio ilikuwa Hilo
 
Labda hujanielewa tu ambacho mie nakieleza hapa, mimi sitafuti usahihi wala kukosa usahihi kwa yote yaliyotokea bali nazungumzia au nataka tujiulize tumefikaje huku tulipofika iwe kwa kuangalia vifo vya watu waliyokufa au uharibifu wa mali.
 
Sababu inajulikana na ipo obviously na ndipo maana sijagusia maana linazungumziwa sana, ila tukiacha kufumbia macho suala la uharibifu wa Mali za umma, wizi wa Mali na uharibifu wa Mali za serikali ambavyo moja kwa moja vinagusa raia hayo maandamano yenu yatakuwa Hayana maana na mtawapa sababu za msingi serikali kudeal na nyinyi
 
Acha kuwa na kichwa kigumu. Umeulizwa ni nini au nani aliyetufikisha hapa tuliopfikia??

Unahangaika kuhubiri mali bila uhai. Hivyo vyote unabyovitaja vinaweza kurejeshwa kwa kodi za hao hao rai waliouliwa/waliotuulia Wapendwa wao/wetu. Je uhai wao uterejeshwa na Serikalini hiyo unayoona ina hati miliki ya raho za watu.
 
Kwahiyo unashauri vitendo vya kuharibu Mali za watu,wizi na kuharibu miundominu ya nchi viendelee?
 
Mtu ambaye hakuchaguluwa hawezi kuwa rais wetu.

Kumnadi ni kumongezea uhalali wa kuwa mtawala.

Acheni kumpa promosheni, waacheni ccm wajipe promotion huko kwenye ma group yao siyo humu.

Humu tujadili namna ya kumuondoa kuleta utawala wa kiraia wenye kufuata sheria na haki.
 
Sababu inajulikana na ipo obviously na ndipo maana sijagusia maana linazungumziwa sana, ila tukiacha kufumbia macho suala la uharibifu wa Mali za umma, wizi wa Mali na uharibifu wa Mali za serikali ambavyo moja kwa moja vinagusa raia hayo maandamano yenu yatakuwa Hayana maana na mtawapa sababu za msingi serikali kudeal na nyinyi
Mkuu polisi walikuwa washatangaza ku deal na waandamanaji kwa sababu hawakutaka maandamano hata ya amani, waliongea kauli za vitisho na tukaona hadi wakifanya mazoezi barabarani.

Kwahiyo mkuu hata kama waandamanaji wasingefanya walichokifanya bado ilitarajiwa kuona polisi wakitumia nguvu kubwa zaidi maana walishatangaza vita kwa waandamanaji.
 
Ifikie hatua haya ndio YAWE maosha yetu hakuna kumuamini mtu
20251109_151235.jpg
 
Kwahiyo unashauri vitendo vya kuharibu Mali za watu,wizi na kuharibu miundominu ya nchi viendelee?
Hayo ndio machafuko mkuu na kama serikali itaendelea ku deal na matokeo badala ya chanzo basi kuna hatari kuja machafuko makubwa zaidi ya hayo ya kuharibiwa mali za watu binafsi na miundombinu.
 
Uzuri na wananchi wote wamejua kwamba CCM itaondoka madarakani kwa Civil War dalili zote tumeziona wazi kwamba box la kura haliwezi kuitoa CCM madarakani watu wamejua vyama pandikizi na namna serikali ya CCM inavyosumbua Upinzani wa kweli sasa wananchi Imani ya box la kura waliyokua wamebaki nayo ni kama imekwisha October kwasababu ya wajinga wachache kusema Rais kashinda kwa 98% wakati Jeshi ndo limeokoa Urais wake ule ni ukichaa unaenda kuapishwa ikulu tena gizani umezima mitandao wananchi waliokuchagua wasifuatilie kinachoendelea ule naweza kusema ni zaidi ya Ujinga
 
Dhambi ya mauaji ya kikatili ya namna ile itawatafuna sana makatili wote.Kuanzia viongozi,watekelezaji hata wakaa kimya waliokiwa na uwezo wa kuzuia unyama ule.

Eee Mungu shusha mapigo makali kwao.
 
Mkuu polisi walikuwa washatangaza ku deal na waandamanaji kwa sababu hawakutaka maandamano hata ya amani, waliongea kauli za vitisho na tukaona hadi wakifanya mazoezi barabarani.

Kwahiyo mkuu hata kama waandamanaji wasingefanya walichokifanya bado ilitarajiwa kuona polisi wakitumia nguvu kubwa zaidi maana walishatangaza vita kwa waandamanaji.
Kwani mkifanya maandamano bila kuvunja Mali za umma mnapungukiwa Nini?
 
Hayo ndio machafuko mkuu na kama serikali itaendelea ku deal na matokeo badala ya chanzo basi kuna hatari kuja machafuko makubwa zaidi ya hayo ya kuharibiwa mali za watu binafsi na miundombinu.
Kama ni hivyo siwezi kuunga mkono maandamano yenu
 
Nadhani kila mwenye akili anapaswa kusoma na kuzingatia yaliyoelezwa humu. Mimi nimeondoka na mawili;

1. Anayesema watanzania ni waoga huyo hajui historia - Akawasome kina Mkwawa, Abushiri na Bwana heri na kina Kijenkitile Nkwale kwenye vita vya majimaji. Ni ujasiri wa hali ya juu kuamini risasi zitageuka maji

2. Ni muhimu zaidi watanzania kujilinda wenyewe. Huwa nashangaa sana unaona polisi anamkung'uta virugu vya kikatili halafu pembeni limesimama kundi la watu linashuhudia na hawafanyi chochote mbaya zaidi unakuta huyo mtu hana hata kosa lolote! Sio jambazi, sio kibaka, sio mwizi, hajabisha, hana chochote alichokishika lakini anapigwa kipigo cha kuua nyoka bila huruma na watu wanaishia kusikitika tu - Wake up Watanzania
 
Unapokuwa unachangia hoja yoyote elewa Kwanza hii ndio sifa kuu ya msomi yoyote usikurupuke hoja ilikuwa nikupongeza maandamano yaliyofanyika kwamba ni kitu sahihi sisi wengine tukasema mbona mnazungumza maandamano ila Kuna eneo moja halizungumziwi suala la kuibiwa Mali za watu, uharibifu wa Mali pamoja na kuharibu miundominu Je hili mnaona kwenu sawa? Hoja ndio ilikuwa Hilo
Wanaikwepa hiyo hoja kwa nguvu zote Ili muradi tu wajipatie uhalali wa kumshambulia Samia.
 
Back
Top Bottom