Hakuna anaye enjoy wala kuona ni jambo la kawaida na ndio maana tunasema tujiulize chanzo ni nini hadi tumefikia huku, kwa sababu bila ya hivyo kila mmoja ataona mwenzake anafurahia yaliyotokea kwamba wewe utaona si sawa watu binafsi kuharibiwa mali zao na unakuwa upo sahihi ila utaonekana unaona kawaida kwa watu kuuliwa na wengine wataona si sawa watu kuuliwa kiasi kile na wanakuwa wapo sahihi ila wataonekana wanafurahia mali za watu binafsi kuharibiwa.Huwezi ku enjoying uharibifu wa Mali za watu ambao ni raia wa kawaida kwa kuona ni Jambo la kawaida eti kisa hasira zako na CCM huo ni uhalifu
Hizo ni hasira za muda mrefu ni bomu ambalo limefikia wakati wa kubutuka, nasema hivyo mkuu kwa sababu katika hii nchi hata hayo maandamano ya amani si yenye kuruhusiwa hapa nchini.Sipingi maandamano ila ninachopinga ni matumizi mabaya ya maandamano kupitia hayo maandamano vitu vingi vya watu vimeibiwa, Mali za watu zimevunjwa na miundombinu imeharibiwa hivi unachoma vituo vya mwendokasi wakati nawe una upanda hiyo mwendokasi wewe unadhani hii imekaa sawa?
Unapokuwa unachangia hoja yoyote elewa Kwanza hii ndio sifa kuu ya msomi yoyote usikurupuke hoja ilikuwa nikupongeza maandamano yaliyofanyika kwamba ni kitu sahihi sisi wengine tukasema mbona mnazungumza maandamano ila Kuna eneo moja halizungumziwi suala la kuibiwa Mali za watu, uharibifu wa Mali pamoja na kuharibu miundominu Je hili mnaona kwenu sawa? Hoja ndio ilikuwa HiloHakuna anaye enjoy wala kuona ni jambo la kawaida na ndio maana tunasema tujiulize chanzo ni nini hadi tumefikia huku, kwa sababu bila ya hivyo kila mmoja ataona mwenzake anafurahia yaliyotokea kwamba wewe utaona si sawa watu binafsi kuharibiwa mali zao na unakuwa upo sahihi ila utaonekana unaona kawaida kwa watu kuuliwa na wengine wataona si sawa watu kuuliwa kiasi kile na wanakuwa wapo sahihi ila wataonekana wanafurahia mali za watu binafsi kuharibiwa.
Labda hujanielewa tu ambacho mie nakieleza hapa, mimi sitafuti usahihi wala kukosa usahihi kwa yote yaliyotokea bali nazungumzia au nataka tujiulize tumefikaje huku tulipofika iwe kwa kuangalia vifo vya watu waliyokufa au uharibifu wa mali.Unapokuwa unachangia hoja yoyote elewa Kwanza hii ndio sifa kuu ya msomi yoyote usikurupuke hoja ilikuwa nikupongeza maandamano yaliyofanyika kwamba ni kitu sahihi sisi wengine tukasema mbona mnazungumza maandamano ila Kuna eneo moja halizungumziwi suala la kuibiwa Mali za watu, uharibifu wa Mali pamoja na kuharibu miundominu Je hili mnaona kwenu sawa? Hoja ndio ilikuwa Hilo
Sababu inajulikana na ipo obviously na ndipo maana sijagusia maana linazungumziwa sana, ila tukiacha kufumbia macho suala la uharibifu wa Mali za umma, wizi wa Mali na uharibifu wa Mali za serikali ambavyo moja kwa moja vinagusa raia hayo maandamano yenu yatakuwa Hayana maana na mtawapa sababu za msingi serikali kudeal na nyinyiLabda hujanielewa tu ambacho mie nakieleza hapa, mimi sitafuti usahihi wala kukosa usahihi kwa yote yaliyotokea bali nazungumzia au nataka tujiulize tumefikaje huku tulipofika iwe kwa kuangalia vifo vya watu waliyokufa au uharibifu wa mali.
Acha kuwa na kichwa kigumu. Umeulizwa ni nini au nani aliyetufikisha hapa tuliopfikia??Sababu inajulikana na ipo obviously na ndipo maana sijagusia maana linazungumziwa sana, ila tukiacha kufumbia macho suala la uharibifu wa Mali za umma, wizi wa Mali na uharibifu wa Mali za serikali ambavyo moja kwa moja vinagusa raia hayo maandamano yenu yatakuwa Hayana maana na mtawapa sababu za msingi serikali kudeal na nyinyi
Kwahiyo unashauri vitendo vya kuharibu Mali za watu,wizi na kuharibu miundominu ya nchi viendelee?Acha kuwa na kichwa kigumu. Umeulizwa ni nini au nani aliyetufikisha hapa tuliopfikia??
Unahangaika kuhubiri mali bila uhai. Hivyo vyote unabyovitaja vinaweza kurejeshwa kwa kodi za hao hao rai waliouliwa/waliotuulia Wapendwa wao/wetu. Je uhai wao uterejeshwa na Serikalini hiyo unayoona ina hati miliki ya raho za watu.
Mkuu polisi walikuwa washatangaza ku deal na waandamanaji kwa sababu hawakutaka maandamano hata ya amani, waliongea kauli za vitisho na tukaona hadi wakifanya mazoezi barabarani.Sababu inajulikana na ipo obviously na ndipo maana sijagusia maana linazungumziwa sana, ila tukiacha kufumbia macho suala la uharibifu wa Mali za umma, wizi wa Mali na uharibifu wa Mali za serikali ambavyo moja kwa moja vinagusa raia hayo maandamano yenu yatakuwa Hayana maana na mtawapa sababu za msingi serikali kudeal na nyinyi
Hayo ndio machafuko mkuu na kama serikali itaendelea ku deal na matokeo badala ya chanzo basi kuna hatari kuja machafuko makubwa zaidi ya hayo ya kuharibiwa mali za watu binafsi na miundombinu.Kwahiyo unashauri vitendo vya kuharibu Mali za watu,wizi na kuharibu miundominu ya nchi viendelee?
Kwani mkifanya maandamano bila kuvunja Mali za umma mnapungukiwa Nini?Mkuu polisi walikuwa washatangaza ku deal na waandamanaji kwa sababu hawakutaka maandamano hata ya amani, waliongea kauli za vitisho na tukaona hadi wakifanya mazoezi barabarani.
Kwahiyo mkuu hata kama waandamanaji wasingefanya walichokifanya bado ilitarajiwa kuona polisi wakitumia nguvu kubwa zaidi maana walishatangaza vita kwa waandamanaji.
Kama ni hivyo siwezi kuunga mkono maandamano yenuHayo ndio machafuko mkuu na kama serikali itaendelea ku deal na matokeo badala ya chanzo basi kuna hatari kuja machafuko makubwa zaidi ya hayo ya kuharibiwa mali za watu binafsi na miundombinu.
Wanaikwepa hiyo hoja kwa nguvu zote Ili muradi tu wajipatie uhalali wa kumshambulia Samia.Unapokuwa unachangia hoja yoyote elewa Kwanza hii ndio sifa kuu ya msomi yoyote usikurupuke hoja ilikuwa nikupongeza maandamano yaliyofanyika kwamba ni kitu sahihi sisi wengine tukasema mbona mnazungumza maandamano ila Kuna eneo moja halizungumziwi suala la kuibiwa Mali za watu, uharibifu wa Mali pamoja na kuharibu miundominu Je hili mnaona kwenu sawa? Hoja ndio ilikuwa Hilo
Cc THE BIG SHOW adriz Akhi Globu Ritz dogo The IcebreakerSamia ni muuwaji ila tutapambana naye mpaka atuachie nchi yetu
Hakika tumeshaapa tutamtoa huyu mama msagaji na mwanaye shoger
Wanatuletea laana kwenye taifa letu moja ni wauaji mbili ni wana michezo ya sodoma na Gomorra
Mtu na mwanaye mama msagaji mtoto shoger