Wazo Fyatu: Jaribio la Kumkinga Samia Linaendelea - Tutarudi Tulikotoka?

Uzi huu umenipa hari kubwa sana.
Hawa watu ni makatili hawafai kuheshmiwa hata kwa unafiki.

Tuwakatae popote.

Hatutasahau watalipia kila tone la damu.
 
Akili za polisi wengi ni kama za KALUMANZILA.
 
Narudia ndugu zangu tununue na tumiliki SILAHA.

Ukishindwa bunduki au bastola zipo silaha za jadi ambazo ni as effective as a gun. Mfano mishale yenye sumu kali ya mamba! Njoo huku Serengeti unazipata kabisa BURE hakuna mtu anakuuzia. Au nenda kwa wamasai na wasonjo wanakupa bure.

NARUDIA TUJIHAMI!

JESHI LA WANANCHI wametuacha uchi tuchinjwe.

NDUGU ZANGU TUJIHAMI KWA SILAHA.
 
Kwani mkifanya maandamano bila kuvunja Mali za umma mnapungukiwa Nini?
Yangekuwa yanaruhusiwa hata hayo maandamano ya amani nadhani kusingekuwa na hayo ya kuvunja mali za umma ila kwa Tz maandamano si haki ya kikatiba tena bali ni hisani ya serikali, ndio maana Magufuli alijiamulia tu akapiga marufuku kabisa maandamano katika utawala wake. Polisi wamekuwa wakizuia sana maandamano sijajua wanapungukiwa nini watu wakifanya maandamano ya amani, hali hiyo imefanya ionekane kufanya maandamano ni kupambana na serikali.
 
Painful kujua, vyombo vyote si kwaajili ya wananchi bali kile watawala wanataka! Nina hakika Mwl Nyerere anaugua huko aliko! Mzee Mwinyi na Mkapa hawaamini kinachotokea kwa vyombo vyote kupigwa ganzi wananchi wakiuawa kama kuku! JPM lazima anawatokea ndotoni wakuu wa vyombo akiwauliza why? Why? Why?

Ila Mungu anaishi!!!!
 
Nimeona hiyo video ya mortuary ya Mwananyamala...tunaelewa kwanini wanajaribu kumlinda na kujilinda wenyewe...
 
Sawa
 
Bado sana tunarudi kule kule .... sijui watamlindaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…