Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

Wazo fyongo:simba na yanga viwe vyama vya siasa.

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
1.vina Wana chama wengi
2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa
3.vina matawi kila sehemu kote vijijini
4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji
5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake
6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na Democrat
 
Kwanini kuna vyama vya siasa ?

Pili kuna tofauti gani kati ya vyama vya sasa vya siasa na simba na yanga (kila kinachosemwa na Chama no matter kina ubovu gani kinaungwa mkono / kila kinachosemwa na Chama kingine no matter kina uzuri kiasi gani wengine watapinga)

Tatu; kama issue ni kufanyia mambo jamii wanashindwa nini kufanya bila kuwa Chama cha Siasa

Chama cha Siasa kina ideology ya jinsi ya kuongoza nchi sasa je kupenda uchezaji wa simba au yanga sio kwamba mtakubaliana kama nchi iwe inajitegemea na kufanya mambo wenyewe au kutembeza bakuli na kugawa rasilimali kwa wageni kwa kigezo kwamba hatuwezi
 
1.vina Wana chama wengi
2.historia yake ni kubwa na vina Ushawishi mkubwa
3.vina matawi kila sehemu kote vijijini
4.vina uwezo wa kujenga ofisi na watu kujitolea Kujenga kila kijiji
5.vinaweza kudumisha amani Kwa ule utani wake
6.demokrasia itakuwa kubwa itakuwa kama marekani ilivyo republic na Democrat
zile ni klabu za michezo haziwezi kuwa vyama vya kisiasa labda zingekuwa ni vyama vya kitaaluma vingeweza kujigeuza kuwa vyama vya kisiasa
 
Zile zote ni jumuia za Chanzo Cha Matatizo (CCM).

Ndo maana mwaka 2015 viongozi wa Simba walipomwalika Lowassa na kumuunga mkono akiwa Chadema, viongozi hao walishughulikiwa kwa kukisaliti Chanzo Cha Matatizo.
 
Back
Top Bottom