Nguruvi3
Platinum Member
- Jun 21, 2010
- 15,773
- 32,431
Mkuu , anachosema Kalamu1 ni kukoksekana uwezekano wa CCM kukaa na vyama vingine kuangalia mustakabali wa amani...Why not?
..kama ni jambo jema na litakaloleta heri na amani kwa nchi yetu kwanini lisifanyike?
..Je, tunatoa wapi uhalali wa kujiita WAZALENDO?
Tatizo ni CCM ambayo inaoenakana kama organiziarion lakini ukweli ni kuwa imekufa kuliko vyama vya upinzani . Sasa wapinzani watakaa mezani na nani?
CCM ya sasa si chama ni CCM ya mtu. Hata CCM wenyewe hawapendezwi na yanayoendelea lakini hakuna anayethubutu kwasababu si chama kile cha wanachama ni'one man show''
CCM unayoiona inasimamishwa na Polisi na vyombo vingine si ile unayoiujua ya wanachama
Ukiona mtu anaimba si kwasababu anaipenda, hapana! ndipo mkono unapoanzia kuelekea kinywani.
Kususia uchaguzi ni ku draw public attention na kupitia hilo vyama vianze kuhamasisha na kuwaelemisha wananchi kuporwa haki zao za kirai, kugeuzwa misukule n.k.
Hakuna mabadiliko ya maana bila nguvu ya umma ambayo haijawahi kushindwa duniani