Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

Wazo Gomvi: Kabla ya Kujitoa CHADEMA Ingeeleza Hili Kwanza...

Haya yanayoendelea yanapalilia mazingira mazuri si CCM kushinda 100% bali Taifa kutumbukia katika hali tusiotarajia. Tumekuwa na vyama vingi miaka 25! nini kimebadilika leo?

Sasa unakaribia niliko; upinzani ukiendelea kusubiria CCM iwasafishie shamba, iwalimie, iwapandie, halafu iwamwigilie na kuwapililia halafu wao waje na matenga yao kuvuna basi watasubiri sana. Hii hofu ambayo unaisema ni hofu isiyo na msingi. Hakuna mtawala ambaye anapenda kutoka madarakani au atatoka madarakani. Hosni Mubarak, Bin Ali, na wengine wengi waliweza kutawala tu kwa muda mrefu kwa sababu watu walikuwa na hizi hisia za kuogopa kuingiza nchi katika machafuko. Nchi si lazima iingie kwenye machafuko; lakini ikishachafuka kinachofanyika ni kuitoa kwenye machafuko. Nisome unielewe. Kama wapinzani wanaombea sana CCM iwasaidie haya wasubirie; na tutazeeka na watoto wetu watazeeka wote wakisubiria... kumbuka CCM imeshaanza kupitisha uongozi kwa vijana wake (wale ambao miaka 15 nyuma walikuwa chipukizi!).
 
JokaKuu, sijui kama unanipta ninachokisema ambacho sijakisema. CCM haina sababu, lengo, maslahi au hata nia ya kutengeneza mazingira ya kuinua au kuimarisha upinzani ili baadaye upinzani uje kuingia madarakani. Msimamo huu haujaja na Magufuli.

..kwa hiyo unataka kusema ccm haina sababu, lengo, nia, wala maslahi, ya kudumisha AMANI ya waTz?

..Magufuli hakuanzisha CCM. Kuna mambo mengi mabaya na mazuri ameyakuta. Lakini hiyo haliondoi ukweli kwamba ana wajibu wa kurekebisha mapungufu/mabaya/maovu ya CCM.
 
..kwa hiyo unataka kusema ccm haina sababu, lengo, nia, wala maslahi, ya kudumisha AMANI ya waTz?

Of course inayo; kwa kadiri ya kwamba inaendelea kubakia madarakani.

.Magufuli hakuanzisha CCM. Kuna mambo mengi mabaya na mazuri ameyakuta. Lakini hiyo haliondoi ukweli kwamba ana wajibu wa kurekebisha mapungufu/mabaya/maovu ya CCM.

Lini umewahi kuona au kusikia ana msimamo wa kusaidia upinzani kwa kuondoa 'mapungufu, mabaya, au maovu" ya CCM?
 
Sasa unakaribia niliko; upinzani ukiendelea kusubiria CCM iwasafishie shamba, iwalimie, iwapandie, halafu iwamwigilie na kuwapililia halafu wao waje na matenga yao kuvuna basi watasubiri sana. Hii hofu ambayo unaisema ni hofu isiyo na msingi. Hakuna mtawala ambaye anapenda kutoka madarakani au atatoka madarakani. Hosni Mubarak, Bin Ali, na wengine wengi waliweza kutawala tu kwa muda mrefu kwa sababu watu walikuwa na hizi hisia za kuogopa kuingiza nchi katika machafuko. Nchi si lazima iingie kwenye machafuko; lakini ikishachafuka kinachofanyika ni kuitoa kwenye machafuko. Nisome unielewe. Kama wapinzani wanaombea sana CCM iwasaidie haya wasubirie; na tutazeeka na watoto wetu watazeeka wote wakisubiria... kumbuka CCM imeshaanza kupitisha uongozi kwa vijana wake (wale ambao miaka 15 nyuma walikuwa chipukizi!).
Nadhani sasa nilichokuelewa ni kuikazia kwako namba 5 katika Uzi wako.

Na mchango wako huo pamoja na mifano hiyo ni kwamba sasa unahimiza Wapinzani waige hiyo mifano ya hizo nchi, kwamba Waache kulia lia kamwe CCM Haitakua fair hivyo unahimiza "Machafuko".

Swali ni Je Wapinzani wakiufuata ushauri wako huo ni yupi atakayesalimika?
 
Yawezekana mzee mwanakijiji uko sawa au la!. najiuliza kama ni kweli Watanzania wanaogombea uongozi serikali za mitaa hawana weledi wa kujaza fomu hizo kwa kiwango kikubwa hivo naingiwa na woga wa elimu itolewayo Tz. Hebu fikiria wagombea hawa wengi ni wahitimu wa elimu ya msingi darasa la 7 na wengine sekondari sasa iweje haya makosa? na si ajabu kuna watumishi wasitaafu ambao pengine ni diploma na degree holders nao wanakosea teh teh teh. waziri wa elimu jitafakari na wizara kwa ujumla.

..kama tatizo ni kujaza fomu tu naamini vyama vyote vingekuwa na changamoto hiyo.

..kama suala ni ELIMU kwani kuna shule special kwa wana-ccm tofauti na zile wanazokwenda wapinzani?
 
Of course inayo; kwa kadiri ya kwamba inaendelea kubakia madarakani.

Lini umewahi kuona au kusikia ana msimamo wa kusaidia upinzani kwa kuondoa 'mapungufu, mabaya, au maovu" ya CCM?

..kwa hiyo unashauri WAPINZANI watumie NGUVU / SILAHA kwasababu CCM haina mpango wa kudumisha AMANI ya waTz?
 
Mzee Mwenzangu usije ukawa umeingia huu mtego mbaya sana uliowanasa upinzani wa Tanzania. Unataka tuamini kuwa CCM ina jukumu na wajibu wa kuwatengenezea wapinzani mazingira safi ya kufanya siasa ili wapinzani hao hatimaye waje kuiondoa CCM madarakani? Kwamba, walegeze kila mahali, wawasaidie wapinzani ili "upinzani ukomae"? Kwamba, CCM wasijitahidi "kuua" upinzani ili waendelee kutawala kwa miaka mingi? Ni mtego mbaya sana huo. Ukinasa ni vigumu kunasuka.
Mbona tunazunguka mle mle tu bila kwenda mbele?

Hakuna anayetaka "CCM iwe na jukumu na wajibu wa kuwatengenezea wapinzani mazingira safi.----"; tunachotaka ni CCM na serikali kuheshimu taratibu, sheria na Katiba vinavyoruhusu haya mambo ya siasa yawe huru kwa kila mtu.

Hatuwezi kuwa washuhuda kwa uhalifu unaofanywa na CCM na serikali, eti kwa kisingizio cha "kuwatengenezea wapinzani mazingira safi"

CCM na serikali wanafanya uharifu. Wanatakiwa waadhibiwe kisheria, au na wenye kutoa haki, ambao ni wananchi wenyewe.
 
Maswali haya naona yanahusu hata ACT Wazalendo... ni katika kuelewa masuala ya upinzani hasa kwenye mazingira ambayo wanajua kabisa hawawezi kutendewa kwa haki.
Hivi kweli inawezekana CCM tu ndiyo waweze kujaza form wengine washindwe.
 
Mbona tunazunguka mle mle tu bila kwenda mbele?

Hakuna anayetaka "CCM iwe na jukumu na wajibu wa kuwatengenezea wapinzani mazingira safi.----"; tunachotaka ni CCM na serikali kuheshimu taratibu, sheria na Katiba vinavyoruhusu haya mambo ya siasa yawe huru kwa kila mtu.

Hatuwezi kuwa washuhuda kwa uhalifu unaofanywa na CCM na serikali, eti kwa kisingizio cha "kuwatengenezea wapinzani mazingira safi"

CCM na serikali wanafanya uharifu. Wanatakiwa waadhibiwe kisheria, au na wenye kutoa haki, ambao ni wananchi wenyewe.
Unaendeleza kosa lile lile wengine wanalifanya. CCM ndio chama kinachouunda na kuongoza serikali. Sera na sheria zote zimetungwa na CCM. Kwa misingi hiyo, utaona ni kwanini hilo unalotaka haliwezekeni. Namna pekee ya kuweza kusahihisha na kuadhibu CCM ni kuitoa madarakani kwanza. Au, kuombea na kusubiria aje mtu ambaye ataisafisha CCM kweli kweli kiasi cha kuweza kutengeneza mazingira ambayo yatakuwa na usawa fulani wa kisiasa. Kwa mfumo wa sasa hili ni sawa na kusubiria mvua kwa kukinga mikono jangwani.
 
Nisome unielewe. Kama wapinzani wanaombea sana CCM iwasaidie haya wasubirie; na tutazeeka na watoto wetu watazeeka wote wakisubiria... kumbuka CCM imeshaanza kupitisha uongozi kwa vijana wake (wale ambao miaka 15 nyuma walikuwa chipukizi!).
Ngoja nikazie tena ninachoandika mimi kuhusu hii hoja yako mpya.

CCM na Serikali sasa hivi wanafanya uharifu.

Njia wanazotumia kunyang'anya haki ni za kihalifu. Wanastahili kuadhibiwa. Tatizo sasa ni namna gani ya kuwaadhibu na nani atakayefanya hivyo, kwa sababu vyombo vyote tulivyojiwekea ili kuifanya kazi hiyo, wao wamevichukua na kuwasaidia katika uhalifu wao huo.
Mahakama kuu iliyobaki ni ya wenyenchi.

Tunataka vyama vya upinzani vipeleke kesi yao huko ili hukumu itolewe pasi kujali kama CCM na serikali yake inakubali au haikubali.
 
Unaendeleza kosa lile lile wengine wanalifanya. CCM ndio chama kinachouunda na kuongoza serikali. Sera na sheria zote zimetungwa na CCM. Kwa misingi hiyo, utaona ni kwanini hilo unalotaka haliwezekeni. Namna pekee ya kuweza kusahihisha na kuadhibu CCM ni kuitoa madarakani kwanza. Au, kuombea na kusubiria aje mtu ambaye ataisafisha CCM kweli kweli kiasi cha kuweza kutengeneza mazingira ambayo yatakuwa na usawa fulani wa kisiasa. Kwa mfumo wa sasa hili ni sawa na kusubiria mvua kwa kukinga mikono jangwani.
Ni dhahiri hukunielewa nilichoandika, au pengine sikujieleza vizuri. Sijasema mahali popote CCM na serikali yake wabembelezwe wakubali mabadiliko. Sheria zilizopo, hata kama zilitungwa na CCM zingeheshimiwa, zinatosha kabisa kuiadhibu CCM. Wao wamekiuka hata hizo sheria walizotunga wao wenyewe.
They have turned 'rogue', and you know what happens when one turns roque!
 
Ni lini CCM wamekuwa wakiheshimu sheria walizotunga wao wenyewe? usiniambie kuwa hili limeanza baada ya kuja Magufuli...
 
Miaka haigandi; kwani kabla ya 2014 watu walikuwa hawaenguliwi? au 2014 wagombea wote wa upinzani walipitishwa? Au mmeshasahau?
Mwanakijiji, peleka mapenzi yako huko.
ACT, CUF na CHADEMA wote hawajui kujaza form tena kwenye maeneo wapinzani wanakubalika ndiko haya yametokea zaidi. Mbona husemi ofisi za watendaji kufungwa na wogombea kukesha usiku mzima wakisuburi kuchukua au kurudisha form zao.
Naungo mkono hoja kwamba unazeeka vibaya Mwanakijiji au una njaa huko uliko.
 
Hii mada si mpya, tulishwahikuijadili wakati wa Ubunge. Nipo katika rekodi nikihoji mantiki ya kurudisha fomu dakika za mwisho.

Tukasema kuna technical issues ambazo Wapinzani lazima wajue namna ya kuzikwepa.

Katika mazingira ya leo hilo haliwezi kutatua matatizo wanayoyapata
Mbunge hawezi kufanya kampeni nje ya eneo lake.

Akiwa ndani ya jimbo lake haruhusiwi kuongelea jambo lolote isipokuwa ''shida''
Huyo compliance officer atafanya nini?

Mwenyekiti wa chama cha upinzani haruhusiwi kufanya maikutano nje ya jimbo lake.
Iwe ni ACT au Chadema! Compliance officer atafanya kazi kitongoji gani?

Shughuli za siasa hadi 2020, compliance officer atafanya kazi lini na wapi?
I mean tuweni wakweli wa nafasi zetu Mwenyekiti wa chama haruhusiwi mikutano, huyo compliance office atatoa mafunzo wapi? NCCR? ACT?
Kuna unforced error lakini tusifumbie macho uhuni unaoendelea kwa kisingizio hicho.

Unaamini kabisa CCM wamejaza fomu kwa usahihi nchi nzima na kwamba walikuwa na Wanasheria kila kitongoji! Kuchukua fomu kunahitaji ufundi gani?

Watu walikatwa mapanga kuchukua fomu! Hawa waliokatwa mapanga walifanya makosa gani ya kiufundi?

Kuna makosa ya Upinzani na moja nimelieleza katika uzi wa Mwanakiji wiki moja kabla.

Kwamba mazingira yaliyopo yalitengenezwa watu wajiandikishe kujenga uhalali wa uchaguzi

Watu wamejiandikisha ,kilichofuata ni kuengua wagombea ili ushindi wa asilimia 99 upatikane
Hili mbona wengine tuliliona hata kabla ya juzi au jana.
Tuliwaambia Wapinzani wanachokifanya ni jaribio la kuhalalisha madhaifu.

Leo nashangaa wanalalamika!

Nasi wananchi tuna shea yetu. Tumekuwa ''partisan'' au washabiki sana kiasi kwamba tunadanganywa na akina Mwenezi na kukubali kuwa kuna makosa wamefanya wapinzani

Hatujishughulishi kuangalia kama kuna ukweli, tunalaumu tukifumbia macho mapanga vichwani

''Nione umamtangaza mpinzani''! halafu leo tunadhani kuna matatizo ya ufundi!

Very well stated. Makosa madogomadogo ya upinzani yanamezwa na ukweli kwamba CCM tayari wanatumia nuclear option ya kukata majina mengi ya wapinzani yasiyo na kasoro yeyote.

Mwanakijiji, peleka mapenzi yako huko.
ACT, CUF na CHADEMA wote hawajui kujaza form tena kwenye maeneo wapinzani wanakubalika ndiko haya yametokea zaidi. Mbona husemi ofisi za watendaji kufungwa na wogombea kukesha usiku mzima wakisuburi kuchukua au kurudisha form zao.
Naungo mkono hoja kwamba unazeeka vibaya Mwanakijiji au una njaa huko uliko.

Mzee yupo biased mpaka anaboa.
 
Hakuna ndugu yako yeyote aliyeahiriki uandikishaji wa wagombea wa serikali ya mitaa na kijiji uwaulize walichokua wanakifanya na maagizo waliyopewa?.

AU unataka kuchosha watu? au wewe unadhani nchi ni ya ccm au wananchi?
Angeanza kwanza huko kwao kutafuta habar hana jipya huyu
 
Ni lini CCM wamekuwa wakiheshimu sheria walizotunga wao wenyewe? usiniambie kuwa hili limeanza baada ya kuja Magufuli...

That doesn't exculpate Magufuli though. He is as guilty as his predecessors. You don't point that out because you like him for other reasons. You only point out "technical errors" by Wapinzani, despite the fact that you are fully aware that the bigger issue is Magufuli's brazen crack down of Wapinzani coupled with physical violence against them.
 
Back
Top Bottom