Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Hata kama utaielimisha Polisi lakini kila Askari atakayeitendea haki Chadema atafukuzwa kazi au atauawa, chukua haya maneno yangu...changamoto nadhani iko ktk uwezo wao wa fedha, na vifaa, kufanya kampeni ya nguvu nchi nzima.
..pia kuwa na chombo cha habari ambacho kiko loyal kwao na kitawatangaza kwa nguvu zilezile zinazotumika kutangaza Ccm.
..jambo lingine wabadilishe ujumbe wao kwa vyombo vya dola. Waache kuvizomea, badala yake wavielimishe, na kuvinasihi, ktk kutenda haki.
..ndani ya vyombo vya dola kuna watu wanapenda haki. Sasa Chadema ielekeze ujumbe kwa kundi hilo.
Hivi Wambura au Kingai wasikie Askari anaitendea haki Chadema unadhani itakuwaje?