Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Sasa nikusaidie Ili akili yako ikae vizuri, ingia kwenye maduka ya vyakula uone kiwango Cha vyakula vinavyotoka nje vinavyofanana na vinavyolimwa hapa. Hapo itakusaidia kuboresha hayo matusi yako ya kitoto. Hao mnaowashuku kwenye Tani kadhaa za mchele, wana njia kibao za kuwapata hata jioni hii wakitaka.
 
Kuna watu wanatembea kwa afya na wameishi maisha marefu sababu ya Wamarekani. Wapo ambao kila mwezi au wiki kadhaa wanaenda kuchukua dawa za ARVs ili kujiongezea Kinga mwilini na kupiga vita magonjwa ambukizi mbalimbali.

Madawa na tiba hizi zimetoka kwa msaada wa watu wa Marekani (na mimi mmojawapo). Ingekuwa wanataka kutupunguza kwa haraka hakuna pazuri kama pale tupapendapo!! Jinsi masikini wetu wanavyopenda kula na kulana, kulala na kulaliana, kutafuna na kutafuniana; maelfu kama siyo mamilioni ya maskini Hawa wangekuwa wamepumzika ahera madukani siku nyingi.

Tuache ufyatu!! Waacheni wazazi au jamii wanaotaka watoto wao wale chakula cha msaada. Tulikula sisi miaka ya themanini na tunashukuru. Wazazi au jamii wasiotaka kula wasilazimishwe. Wazazi wawakataze watoto kula chakula Nicholas. Lakini kuwanyima watoto na wazazi wengine wasio na tatizo na vyakula hivi ni ufyatu . Tukifika mahali kweli tu tunajitegemea kwa chakula tunaweza kukataa kwa sababu ya kutokujiabisha. Sasa hivi msemo wa wahenga "mwenye njaa hana haramu" una ukweli wake.

Nashauri serikali iache hamaki, itulie na kufikiria tena a more balanced approach. Tusiwe note hamnazo.
Wao wenyewe na familia zao wanatibia Ulaya na Marekani wakiungua hata mafua tu pekee, ni ujinga pekee
 
ARv ni biashara kubwa sana duniani, hizi wewe unazopewa bure na serikali , ila serikali yako imeshakulipia , hakuna cha bure duniani
Haijalishi ni business or not. Mtu mweupe akitaka kut wipe, ni suala dogo sana. If almost huduma nyingi tunamtegemea, akiamua kuzitumia against us tuna pa kwenda?
 
Miaka ya 70 tulikula sana ule unga wa njano kutoka America. Kukawa na fununu kuwa waliweka dawa za kupunguza nguvu za kiume, nilikula sana na sijaathirika. Labda nina kinga za kutosha.
 
Kuna watu akili zao wanazijua wenyewe.

Madawa mengi ya Cancer, Kifua kikuu na chanjo zote zinatoka hukp. Hizo ndiyo njia rahisi kudhuru watu .... lakini watu wanakubali ili wapone. Kwenye chakula wanajifanya wazalendo wakati watoto wa watu wanakufa na njaa ... inaelekea kuna watu hawajui hali ya utapia mlo kwa watoto wa Tanzania. The statistics are not good.

For the first time nimemdharau Bashe kwa kupoliticize hii issue.
Hayo maginjwa yenyewe yametengenezwa na kuletwa na nani kama sio wao? Zinduja muafrika
 
Hiyo takwimu iko wapi??
Vifaa vyote wanatumia vya kutoka Marekani na Ulaya

Tanzania inaingiza vifaa vingi kutoka
China
India
Pakistan
UAE
Kenya



HUO UTUMWA wa kifikra nani kakuroga
 

Attachments

  • D7891699-AC73-4E93-B022-21562654AFA2.jpeg
    D7891699-AC73-4E93-B022-21562654AFA2.jpeg
    528.3 KB · Views: 1
Ni kweli maana huwa siwezi kufundisha watu wanaopanic hovyo.
Lazima utakua ni pisi kali mi sijaona mwanaume unakaa kusifia kupewa vya bure!!!
Wanaume wa dar hawa😂😂😂wenzio wanaomba teckologia we unataka chakula asieee
 
Utamfundisha nani na unaandika uzi kusifia msaadaa ! utaja olewa ww
Acha matumizi ya shisha dogo utaishia kushobokea mabasha, misaada nchi hii ni fashion. Sasa sijui mihemko ya Nini. Ni wapi nimeandika Uzi wa kusifia misaada? Kama umekosa mabasha huko mtaani kwenu acha kulazimisha mabasha kinguvu huku mitandaoni.
 
Wangeamua kupunguza mtu mweusi wangebana arv tu, simple as that
Wanataka idadi yao alioiongelea Eugenics Margareth Sanger ikamilike.

Hata hivi ARVs za bure ni TRAP kwa Mwenye Akili anaona Wacha Mtu Mweusi ajae kwa asilimia 85% halafu wastopishe uone Mizoga hata wa kuzika watakosekana.

Mzungu hatupendi ila anaipenda Ardhi yetu na Madini yetu.
 
Wafungwa Weusi huko USA👇

The city allowed University of Pennsylvania researcher Dr. Albert Kligman to conduct the dermatological, biochemical and pharmaceutical experiments that intentionally exposed about 300 inmates to viruses, fungus, asbestos and chemical agents including dioxin — a component of Agent Orange.
 
Misaada yote ni uhuni tu, kama haituathiri kiafya (sidhani kama ina athari za kiafya) basi ina tuathiri kiuchumi.
Huu msaada wa mchele sijui nini, ukingalia ni serikali ya Marekani inawapa shavu na kuwatafutia masoko wakulima wake. Hakuna cha msaada, ni suala la uchumi zaidi, Marekani akiwa mshindi.
Misaada ni debt trap au soft policy ndo maana utaletewa condom za msaaa za 1B afu watabeba madini ya 1Trion mSaada ni nyoko!! kataa msaada
 
Dunia hii wasingekuwepo wamarekani isingekuwa sehemu salama. Ungekuta Mzee madevu kashachinja watu wote wanakwenda kinyime na dini yake. Ukiona mtu anamlaumu marekani ujue kawataiti huduma zao zimeshindwa kufanikiwa. Marekani ni kama maji hukwepi misaada yake.
 
Back
Top Bottom