Wazo Kebehi: Wangetaka Kutuua Wangetuacha na HIV/UKIMWI...

Sasa nikusaidie Ili akili yako ikae vizuri, ingia kwenye maduka ya vyakula uone kiwango Cha vyakula vinavyotoka nje vinavyofanana na vinavyolimwa hapa. Hapo itakusaidia kuboresha hayo matusi yako ya kitoto. Hao mnaowashuku kwenye Tani kadhaa za mchele, wana njia kibao za kuwapata hata jioni hii wakitaka.
 
Wao wenyewe na familia zao wanatibia Ulaya na Marekani wakiungua hata mafua tu pekee, ni ujinga pekee
 
ARv ni biashara kubwa sana duniani, hizi wewe unazopewa bure na serikali , ila serikali yako imeshakulipia , hakuna cha bure duniani
Haijalishi ni business or not. Mtu mweupe akitaka kut wipe, ni suala dogo sana. If almost huduma nyingi tunamtegemea, akiamua kuzitumia against us tuna pa kwenda?
 
Miaka ya 70 tulikula sana ule unga wa njano kutoka America. Kukawa na fununu kuwa waliweka dawa za kupunguza nguvu za kiume, nilikula sana na sijaathirika. Labda nina kinga za kutosha.
 
Hayo maginjwa yenyewe yametengenezwa na kuletwa na nani kama sio wao? Zinduja muafrika
 
Ni kweli maana huwa siwezi kufundisha watu wanaopanic hovyo.
Lazima utakua ni pisi kali mi sijaona mwanaume unakaa kusifia kupewa vya bure!!!
Wanaume wa dar hawa😂😂😂wenzio wanaomba teckologia we unataka chakula asieee
 
Utamfundisha nani na unaandika uzi kusifia msaadaa ! utaja olewa ww
Acha matumizi ya shisha dogo utaishia kushobokea mabasha, misaada nchi hii ni fashion. Sasa sijui mihemko ya Nini. Ni wapi nimeandika Uzi wa kusifia misaada? Kama umekosa mabasha huko mtaani kwenu acha kulazimisha mabasha kinguvu huku mitandaoni.
 
Wangeamua kupunguza mtu mweusi wangebana arv tu, simple as that
Wanataka idadi yao alioiongelea Eugenics Margareth Sanger ikamilike.

Hata hivi ARVs za bure ni TRAP kwa Mwenye Akili anaona Wacha Mtu Mweusi ajae kwa asilimia 85% halafu wastopishe uone Mizoga hata wa kuzika watakosekana.

Mzungu hatupendi ila anaipenda Ardhi yetu na Madini yetu.
 
Wafungwa Weusi huko USA👇

The city allowed University of Pennsylvania researcher Dr. Albert Kligman to conduct the dermatological, biochemical and pharmaceutical experiments that intentionally exposed about 300 inmates to viruses, fungus, asbestos and chemical agents including dioxin — a component of Agent Orange.
 
Misaada ni debt trap au soft policy ndo maana utaletewa condom za msaaa za 1B afu watabeba madini ya 1Trion mSaada ni nyoko!! kataa msaada
 
Dunia hii wasingekuwepo wamarekani isingekuwa sehemu salama. Ungekuta Mzee madevu kashachinja watu wote wanakwenda kinyime na dini yake. Ukiona mtu anamlaumu marekani ujue kawataiti huduma zao zimeshindwa kufanikiwa. Marekani ni kama maji hukwepi misaada yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…