Wazo la kufungua barabara ya Makambako to Mlimba

Watu wa Mufindi wangekuona unamsifia Mama kiasi hiki, huku wengi wao wakiwa wananung'unika kutokana na ubovu uliokithiri wa barabara kwenye hiyo Wilaya kwa miaka nenda; aisee nahisi wangeweza hata kukupiga makofi.

Eti unasema barabara ya Nyololo Mtwango Kilomita 40.4 kwa kiwango cha lami, mkandarasi yupo site!! Site ya wapi hiyo!! Mimi kila mwezi huwa ninapita hiyo barabara, na imejaa matope. Kama ni lami imepigwa mita 200 tu kutoka barabara kuu ya Tanzam!

Halafu unasema Igowole imepewa lami ya kilomita 1.2 ya mtaani! Sasa km 1.2 ina tija gani katika hali ya kawaida!! Hizo hela mnazotumia kupuyanga huko kwa wenzenu si mngezitumia kujenga kilomita za kutosha tu za barabara za mitaa, badala ya kujenga barabara ya km 1.2!! Halafu nina wasiwasi kama hiyo lami ya Sawala Luhunga kama serikali inahusika kwenye ujenzi wake, kiasi cha kuja kujisifia hapa! Na kama inahusika, basi yatakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za serikali.

Ukienda Dodoma ambako ni Jiji, barabara nyingi za mitaa hazipitiki! Na zimegeuka kuwa mabwawa.
Huyo ni mbunge wao akielezea mafanikio hapo tumechukulia reference ya upembuzi wa Barabara ya makambako hadi MGOLOLO
 
Watu wa Mufindi wangekuona unamsifia Mama kiasi hiki, huku wengi wao wakiwa wananung'unika kutokana na ubovu uliokithiri wa barabara kwenye hiyo Wilaya kwa miaka nenda; aisee nahisi wangeweza hata kukupiga makofi.

Eti unasema barabara ya Nyololo Mtwango Kilomita 40.4 kwa kiwango cha lami, mkandarasi yupo site!! Site ya wapi hiyo!! Mimi kila mwezi huwa ninapita hiyo barabara, na imejaa matope. Kama ni lami imepigwa mita 200 tu kutoka barabara kuu ya Tanzam!

Halafu unasema Igowole imepewa lami ya kilomita 1.2 ya mtaani! Sasa km 1.2 ina tija gani katika hali ya kawaida!! Hizo hela mnazotumia kupuyanga huko kwa wenzenu si mngezitumia kujenga kilomita za kutosha tu za barabara za mitaa, badala ya kujenga barabara ya km 1.2!! Halafu nina wasiwasi kama hiyo lami ya Sawala Luhunga kama serikali inahusika kwenye ujenzi wake, kiasi cha kuja kujisifia hapa! Na kama inahusika, basi yatakuwa ni matumizi mabaya ya fedha za serikali.

Ukienda Dodoma ambako ni Jiji, barabara nyingi za mitaa hazipitiki! Na zimegeuka kuwa mabwawa.
Ile Barabara imejengwa na mradi Agri connect km 40 hadi lulanda na Ile itaenda hadi mlimba kwa Sasa wamepewa km 40 kutoka nyororo hadi mtwango zitaenda kuungana na hiyo na bado ya ifwagi nayo inawekwa lami kupitia mradi wa RISE
FTXZtGWXwAQ2d_n.jpg
WhatsApp Image 2023-05-20 at 7.07.33 AM.jpeg
 
Ile Barabara imejengwa na mradi Agri connect km 40 hadi lulanda na Ile itaenda hadi mlimbaView attachment 2972436View attachment 2972439
Sasa barabara za aina hii zinashindwa vipi kujengwa kwenye maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula na biashara? Mfano kutoka Ifakara kwenda Mlimba, Ifakara kwenda Mahenge na Malinyi, Nyololo Mgololo, nk!!

Washauri viongozi wako waache mambo ya hovyo. Hii mifumuko ya bei ya vyakuka na bidhaa nyingine, wakati mwingine wanajitakia tu wenyewe.
 
kweli aisee ifakara mlimba,ifakara mahenge,mlimba malinyi,mlimba njombe,mahenge lindi,mlimba mafinga na malinyi songea ni barabara muhimu sana ila viongozi wanakomaa na kujenga vitu vya ajabu ili wapige madili
 
Sasa barabara za aina hii zinashindwa vipi kujengwa kwenye maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula na biashara? Mfano kutoka Ifakara kwenda Mlimba, Ifakara kwenda Mahenge na Malinyi, Nyololo Mgololo, nk!!

Washauri viongozi wako waache mambo ya hovyo. Hii mifumuko ya bei ya vyakuka na bidhaa nyingine, wakati mwingine wanajitakia tu wenyewe.

Sasa barabara za aina hii zinashindwa vipi kujengwa kwenye maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa mazao ya chakula na biashara? Mfano kutoka Ifakara kwenda Mlimba, Ifakara kwenda Mahenge na Malinyi, Nyololo Mgololo, nk!!

Washauri viongozi wako waache mambo ya hovyo. Hii mifumuko ya bei ya vyakuka na bidhaa nyingine, wakati mwingine wanajitakia tu wenyewe.
Wazo zuri ila mradi wa Agri connect wamejenga maeneo ya uzalishaji wa mazao ya biashara hasa chai ,kahawa
 
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe km 224 mbili itasaidia kuwaunganisha wakazi wa ifakara mlimba nk na mikoa ya nyanda za juu kUsini iringa, Njombe ,ruvuma,mbeya ,songwe ,rukwa nk tatu itakuwa ndo njia mbadala ya kwenda dsm itapunguza msongamano tazam road ,

Itawarahisishia kutanuka kwa soko la mazao yao wananchi wa mlimba na mwisho naona juhudi zimeanza kuonekana ya kupanganfa kukifungua kipande Cha uchindile hadi mlimba na ndo kipande kilicho kuwa kimesalia hongereni tarura kwa maono hayo👇♨️♨️♨️♨️👇

Nao wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlimba Mhandisi Stephano Kaliwa wamekiri uboreshaji wa miundombinu katika halmshauri zao huku akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassa kupitia TARURAna kwamba Halmashauri ya mlimba inatarajia kuchonga barabara ya Mlimba - Uchindile yenye km 80 ambayo itawasaidia kuondokana na adha ya kuzunguka View attachment 2972329View attachment 2972330View attachment 2972331View attachment 2972332
Wakina JAH PEOPLE nao wamezubaa, barabara na reli ya Makambako ni ya kwanza (T001) nchi hii lakini sioni maendeleo ya maana.
 
MALORI 25 YAKWAMA BARABARA YA MGOLOLO-MAKAMBAKO

Zaidi ya magari ya mizigo 25 ambayo yanasafirisha bidhaa mbalimbali kutoka kiwanda cha karatasi Mgololo wilaya Mufindi mkoani Iringa yamekwamba kwa zaidi ya siku tano katikati ya vijiji vya Nyamande na Kitandiliko halmashauri ya mji wa Makambako wilayani Njombe kutokana na ubovu wa barabara katika eneo hilo.

Wakizungumza na radio one madereva wa magari hayo akiwemo Godwin Ngajilo na Jumanne Hussen wamesema changamoto kubwa katika eneo hilo inatokana na aina ya kifusikisicho na changarawe kilichowekwa na mkandarasi ambacho kimesababisha Barabara hiyo kutopitika kutokana na uwingi wa matope kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha.

Wakizungumzia umhimu wa Barabara hiyo wamesema barabara hiyo inatumiwa na nchi zaidi ya tano ikiwemo Kenye,Uganda ,Burundi na Zambia ambazo zinategemea karatasi kutoka kiwanda cha Mgogolo na kwamba kwamba jitihada za makusudi zinatakiwa kuchukuliwa.

Aidha madereva hao wamesema kutokana na adha hiyo kumesababisha watumie gharama kubwa kwaajili ya kupata chakula na kueleza kuwa mpaka sasa hakuna hakuna jitihada zinazoendelea kwaajili ya kunusuru hali hiyo .

Nao baadhi ya wananchi wa kijiji cha Kitandililo akiwemo Obedi Msingwa na diwani wa kata hiyo bwana Imani fute wamesema kutokana na barabara hiyo kutopitaka kwa zaidi ya siku tano kumesababisha abiria wanaotoka vijiji vya wilaya ya mufindi kuishia kitandililo na kutafuta usafiri mwingine ili kufika mjini mkambako huku wengine wanalazimika kutembea miguu

Kwa njia ya simu meneja wa Tanroad mkoa wa Iringa Yudas Msangi amekiri kupokea changamoto hiyo na kuahidi kutaftia ufumbuzi haraka na kueleza kuwa barabara hiyo itafanywia marekebisho pindi mvua zitakapo bada ya kufanyiwa usanifu

mwandishi Njombe
0766880828
1713943467464.jpg
 
Wakina JAH PEOPLE nao wamezubaa, barabara na reli ya Makambako ni ya kwanza (T001) nchi hii lakini sioni maendeleo ya maana.
HApo ndo inatakiwa upeleke wazo ila wenzio kama mkoa wamefikiria haya kuwa na dry Port viwanda na biashara👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka amesema mji wa Makambako ni lango la biashara na anaufananisha mji huo kama ulivyo mji wa Mkuranga mkoani Pwani ambao una viwanda vingi.

Mtaka amesema hayo wakati wa ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Emmanuel Nchimbi, Makambako mkoani Njombe.

Mtaka ameongeza kuwa, wao kama mkoa wana mipango ya kuifanya Makambako kuwa mji wa viwanda na tayari wameanza ujenzi wa kiwanda cha chuma na hivyo wananchi mkoani humo hawatapata tena adha ya kufuata chuma mkoani Dar es Salaam.

Pia wana mpango wa kuongeza thamani ya zao la Parachichi ambalo linalimwa sana mkoani humo.

Aidha, Mtaka ameipongeza Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kuendelea kuwaelekeza wananchi namna nzuri ya ulipaji kodi bila bughudha na hivyo kuwataka wafanyabiashara mkoani humo kufanya shughuli zao kwa utulivu.
1702914137702.jpg
12693880083_3c80c10c71_b.jpg
Pic+1~2.jpg
1708269587815.jpg
1703037483324.jpg
1711339180702.jpg
IMG-20231026-WA0958-1024x662.jpg
1697948049588.jpg
1696737622411.jpg
mqdefault.jpg
 
Attachments

  • 1713453839758.jpg
    1713453839758.jpg
    166.4 KB · Views: 3
Ni Muda mwafaka tanroad kuifungua Barabara ya makambako hadi mlimba kuungana na iliyotoka Ifakara kwa ni wananchi wengi kipande hichi wamekuwa wakitumia treni kama ndo usafiri wao na kwanini wafungue hii Barabara kwanza ni Barabara itakayo kuwa na km chache kama 160 ukilinganisha na ya lupembe km 224 mbili itasaidia kuwaunganisha wakazi wa ifakara mlimba nk na mikoa ya nyanda za juu kUsini iringa, Njombe ,ruvuma,mbeya ,songwe ,rukwa nk tatu itakuwa ndo njia mbadala ya kwenda dsm itapunguza msongamano tazam road ,

Itawarahisishia kutanuka kwa soko la mazao yao wananchi wa mlimba na mwisho naona juhudi zimeanza kuonekana ya kupanganfa kukifungua kipande Cha uchindile hadi mlimba na ndo kipande kilicho kuwa kimesalia hongereni tarura kwa maono hayo👇♨️♨️♨️♨️👇

Nao wakurugenzi wa halmashauri za mkoa huo akiwemo Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mlimba Mhandisi Stephano Kaliwa wamekiri uboreshaji wa miundombinu katika halmshauri zao huku akimshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassa kupitia TARURAna kwamba Halmashauri ya mlimba inatarajia kuchonga barabara ya Mlimba - Uchindile yenye km 80 ambayo itawasaidia kuondokana na adha ya kuzunguka View attachment 2972329View attachment 2972330View attachment 2972331View attachment 2972332
Mimi binafsi nakubaliana na mleta mada kabisa tunapashwa kuzitengeneza njia nyingi zinazoiunganisha Nchi pande zote hiyo ndio njia mojawapo nzuri ya kuleta maendeleo ya ndani ya Nchi. Kuto kuzijenga itakuwa sawa sawa na kile wanachokipata DRC maana upande mmoja hakutani na mwingine kwa urahisi.
 
Back
Top Bottom