Leo ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi.Raha ya mwanaume bwana awe na uanaume ndani yake.
Kipi kimekushangaza ndugu yanguLeo ningeshangaa sana kama nisingekuona kwenye huu uzi.
Muandiko wako.Kipi kimekushangaza ndugu yangu
Mwalimu wangu wa mwandiko alinifundisha vizuri pongezi ziende kwakeMuandiko wako.
Busu la KengeMkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke.
View attachment 3700652
Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke.
Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion.
Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke, kabakiza jinsia tu, na Hana sifa za kuwa mwanaume(yani dume suruali tu)
Mnaonaje hili ndugu zangu?
Binafsi naona yuko sahihi sana. As a man provision is your birth right.
Me toka kanda za gaza tujuane maana tulilelewa kwenye misingi hii na hata sasa tunaidumisha.Mkufunzi na mindset mentor Cosmas madulu ana waasa wanaume kuto kuzingatia pesa ya Mwanamke.
View attachment 3700652
Ya kuwa mwanaume hapaswi kuleta shobo na maokoto ya Mwanamke.
Mwanamke, ataridhika sana wewe kumpatia elf 20, hata kama ana Mshahara wa ma billion.
Na mwanaume anaye tolea macho pesa ya Mwanamke, kabakiza jinsia tu, na Hana sifa za kuwa mwanaume(yani dume suruali tu)
Mnaonaje hili ndugu zangu?
Binafsi naona yuko sahihi sana. As a man provision is your birth right.
Mzee wangu alikuwa anamgeiya mama wa kambo kila kitu, wakati huo huo yule mwanamke alikuwa ana kazi yake inayo mwingizia kipato.Me toka kanda za gaza tujuane maana tulilelewa kwenye misingi hii na hata sasa tunaidumisha.
Ubinadamu ni kazi/the humanity is work.
Kwavile tu hizi ni unknown Ids, ni vigumu kuthibitisha Ke ni yupi na Me ni yupi, ila ikiwa leo dada, Kalpana, Shadeeya, Carleen ni Ke halisi basi....Raha ya mwanaume bwana awe na uanaume ndani yake.