Wazo la leo: Tumia JF kumjua mwanamke mwenye akili (mke bora)

Kuna faida zake na hasara zake, ila nakushauri oa mjinga anayeweza kufundishika then mambo ya akili utamfundisha mwenyewe.

Amin.
Hii nayo pambe,tuje zetu tu akili tutazikuta hukohuko,kama kusoma mmeshatusomea,Mali mnatutafutia Sasa tunahangaika kuja na akili za kazi Gani🤔🤔🤔?
 
Hii nayo pambe,tuje zetu tu akili tutazikuta hukohuko,kama kusoma mmeshatusomea,Mali mnatutafutia Sasa tunahangaika kuja na akili za kazi Gani[emoji848][emoji848][emoji848]?

Ndo ivo, muhimu hue na akili zakulea familia, za jinsi ya kutunza mali zenu na kuzizalisha zaidi izo utapewa na mume mwenywe, kuoa mwanamke anayejua kila kitu inaboa sana.
 
Ndo ivo, muhimu hue na akili zakulea familia, za jinsi ya kutunza mali zenu na kuzizalisha zaidi izo utapewa na mume mwenywe, kuoa mwanamke anayejua kila kitu inaboa sana.
Mkuu,ningekuwa Sina njemba ningekusarandia,nimependa sana mtazamo wako wewe utakuwa sio mchoyo mchoyo
 
Je yule anayepatikana kwa wazee wa kuweka mikeka... imeekaje hapo (misimisondo)
 
........hawa wazee sio wa kuwaamini sana, unakuta anatuunganisha kwa dhati kabisa kumbe behind the scene na lenyewe linakupenda na kukuhitaji kwa udi na uvumba.......
Daaah😅😅😅
Joannah tumvunje moyo au tumpe matumaini?🤪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…