Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Wife material wa JFMimi nipo hapo namba 1
Sijali wala nini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wife material wa JFMimi nipo hapo namba 1
Sijali wala nini
Thank you rafikii Happy New Year to you too rafiki!😘Hahahaaaa. Lol.
Happy new year rafiki. 😘
Thanks a lot rafiki. 🙏Thank you rafikii Happy New Year to you too rafiki!😘
Kwann mwijaku hajaja tumshauri rangi nzuri ya kupaka nje 🤣🤣Ujenzi zone 😅😅
Hapo sasa!Mbona kabila lako huwa sio wanafki hivi!
😂
.......true that, huyo naye anafaa sana, hata comments zake anaonekana ana utulivu fulani, mkuu unawapata vizuri tutengenezee mazingira aisee!.....Joannah yupo busy na vita ya Putin vs Zelencky😅😅 nawatengenezea vijana mazungira..
Alichelewa sana kuwaona, asijue humu kuna vichwa vya interior design.Kwann mwijaku hajaja tumshauri rangi nzuri ya kupaka nje 🤣🤣
Yaani🤣🤣🤣🤣we mzee naona style uliyoingia nayo 2024 ya kunipigia pande ni ya kipekee,Kwa hiyo unataka kuniweka Kwa Atlantic Star ?cc: Joannah
Tuanzie hapo mkuu😁
HahahahaJichanganye
We utakua una AKili nyingi sanaThanks a lot rafiki. 🙏
🤝
Hii nayo pambe,tuje zetu tu akili tutazikuta hukohuko,kama kusoma mmeshatusomea,Mali mnatutafutia Sasa tunahangaika kuja na akili za kazi Gani🤔🤔🤔?Kuna faida zake na hasara zake, ila nakushauri oa mjinga anayeweza kufundishika then mambo ya akili utamfundisha mwenyewe.
Amin.
Hii nayo pambe,tuje zetu tu akili tutazikuta hukohuko,kama kusoma mmeshatusomea,Mali mnatutafutia Sasa tunahangaika kuja na akili za kazi Gani[emoji848][emoji848][emoji848]?
Mkuu,ningekuwa Sina njemba ningekusarandia,nimependa sana mtazamo wako wewe utakuwa sio mchoyo mchoyoNdo ivo, muhimu hue na akili zakulea familia, za jinsi ya kutunza mali zenu na kuzizalisha zaidi izo utapewa na mume mwenywe, kuoa mwanamke anayejua kila kitu inaboa sana.
........hawa wazee sio wa kuwaamini sana, unakuta anatuunganisha kwa dhati kabisa kumbe behind the scene na lenyewe linakupenda na kukuhitaji kwa udi na uvumba.......Yaani🤣🤣🤣🤣we mzee naona style uliyoingia nayo 2024 ya kunipigia pande ni ya kipekee,Kwa hiyo unataka kuniweka Kwa Atlantic Star ?
Je yule anayepatikana kwa wazee wa kuweka mikeka... imeekaje hapo (misimisondo)Wahenga wanashauri oa mke mwenye akili, sasa akili ya mtu unaweza ipima kutokana na vitu mtu anafanya au anapenda kufanya.
Unaweza tumia JF kujua huyu mtu anapenda nini na baada ya hapo ndio utajua huyu mwanamke ana akili au ni wale wanaotumia makalio badala ya akili kuishi hapa duniani!
Sasa fwata huu mwongozo kumjua mwanamke mwenye akili.
1. Ukiona mwanamke mara kwa mara au 90% ya muda wake hapa JF yupo jukwaa la chitchat, jukwaa la mapenzi jukwaa la celebrite au jukwaa lingine linalofanana na hayo jua huyo ana akili ndogo achana nae.
2. Ukiona mwanamke walau asilimia 70 mpaka 90 ya muda wake hapa JF anautumia katika majukwaa kama biashara, intelijensia, international forum, ujenzi, technolojia, dini na majukwaa mengine ambayo yanahitaji utumie "akili" ili uchangie jua huyo ana akili na unaweza weka ndani maana hakuna mwanamke mwenye akili ndogo atasogelea haya majukwaa!
Yangu ni hayo, sasa kazi kwako usije sema hatujakwambia!
Upepo wa Pesa.