Wazo lenye mantiki: Kama mmeshindwa kujenga ofisi kwa miaka 25, kama mkipata fursa ya kutawala mngeweza kununua vifaa vya kuokolea?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je, mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
 
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
ina maana jengo ndiyo chama au chama ni msingi wa wanachama ndiyo mtaji hata wangejenga ungekuwa unakosoa tu kwakuwa huwapendi TLP mbona kina ofisi lakini kimekufa? watajenga tu muda ukifika mtaji wa wanachama kupatikana
 
Mpaka leo hujawahi kutofautisha chama na serikali???? Kumbe Ndio maana kila siku ni kusifu eti kajenga madarasa, vituo vya afya, barabara.Unajiibia halafu unajipongeza ulivyo maridadi kwa wizi. Cdm inaweza kuingia ikulu na ikatoka bila kujenga ofisi ya chama hata moja lkn maendeleo ya nchi yakapaa, walipa kodi wa tz chama hakiwahusu.
 
Accountability
 
Chama hupewa dhamana ya kuunda serikali. Sasa mkipewa hiyo dhamana?
 
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
Sisi tusiohusiana na chama chochote cha siasa mbona pia tunalalamikia uzembe huu wa kutokuwa na vifaa vya uokoaji? Kwani pia hakuna walioliona tatizo hili na kulilalamikia ambao ni wanachama wa chama tawala?
Je wewe unaona ni sawa viongozi kutumia ma-V8 huku wakiwa wazembembe kwenye suala la kuwa na viaa vya uokoaji?
 
Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.

Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?

Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.

Je mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
leo mkuu wa nchi hajakosea?
najua utanitukana
 
WASENGE WANAONGEZEKA HUMU NCHINI JAPO WENGINE HAWAJAINGILIWA BADO.INGAWA AKILI ZAO ZISHAJIEGEMEZA SENGEREMA.
 
Back
Top Bottom