Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
FoolVipi Chato panaendeleaje?
Anzisheni matembezi tumetembelee marehemu
Samahani mtoa mada
ina maana jengo ndiyo chama au chama ni msingi wa wanachama ndiyo mtaji hata wangejenga ungekuwa unakosoa tu kwakuwa huwapendi TLP mbona kina ofisi lakini kimekufa? watajenga tu muda ukifika mtaji wa wanachama kupatikanaMnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.
Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?
Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.
Je mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
Accountabilityina maana jengo ndiyo chama au chama ni msingi wa wanachama ndiyo mtaji hata wangejenga ungekuwa unakosoa tu kwakuwa huwapendi TLP mbona kina ofisi lakini kimekufa? watajenga tu muda ukifika mtaji wa wanachama kupatikana
Chama hupewa dhamana ya kuunda serikali. Sasa mkipewa hiyo dhamana?Mpaka leo hujawahi kutofautisha chama na serikali???? Kumbe Ndio maana kila siku ni kusifu eti kajenga madarasa, vituo vya afya, barabara.Unajiibia halafu unajipongeza ulivyo maridadi kwa wizi. Cdm inaweza kuingia ikulu na ikatoka bila kujenga ofisi ya chama hata moja lkn maendeleo ya nchi yakapaa, walipa kodi wa tz chama hakiwahusu.
Sisi tusiohusiana na chama chochote cha siasa mbona pia tunalalamikia uzembe huu wa kutokuwa na vifaa vya uokoaji? Kwani pia hakuna walioliona tatizo hili na kulilalamikia ambao ni wanachama wa chama tawala?Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.
Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?
Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.
Je mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
What do you mean?Usimba vs Uyanga unatupa changamoto sana ktk maendeleo ya nchi hii
Just like your bossFool
FoolJust like your boss
leo mkuu wa nchi hajakosea?Mnaweza kuwa na hoja nzuri maana mnapiga kelele kutwa nzima jana na leo.
Lakini kama mmeshindwa kuwa waaminifu kwa kidogo, kikubwa ndio mngeweza?
Zaidi ya miaka ishirini na saba mnakula ruzuku na michango.
Je mkipata nchi si ndio hatupata darasa wala kifaa cha kukolea kabisa kama gari la zimamoto!
What is legacy?Wazee wa Legacy
Hujitambui kenge weweleo mkuu wa nchi hajakosea?
najua utanitukana
Ili iweje?