Wazo lenye mantiki: Kama mmeshindwa kujenga ofisi kwa miaka 25, kama mkipata fursa ya kutawala mngeweza kununua vifaa vya kuokolea?

Ngoja wenywewe waje! Mimi naondoka wasije wakanikuta.
 
Sidhan kama hii ndio justification ya wao kutoweza kuleta maendeleo! BTW mnaendeleaje huko chatle?
 
Mada za aina hii mara nyingi huandikwa na wale watu waliotoka kula ugali na maharage muda si mrefu, Halafu wakala kupitiliza!
 

Swali la kijinga. Tofautisha chama Cha siasa Cha upinzani na serikali yenye bajeti na yenye kupokea tozo kila siku.
 

Kama sio dogo majaliwa kujiongeza Leo usingeuliza swali la kijinga.
 
Oneni hii ndama iliyovimbiwa mihogo inavyohorojeka humu! Ccm 62+ yrs imeshindwa kutoa huduma za jamii Kama maji, umeme, AFYA na elimu Kwa uhakika licha ya kudhulumu majengo ya umma na kuyageuza kuwa ofisi zao na Leo unailaumu cdm Kwa kutokuwa na jengo?
Rudi darsani Tena kwani Kuna mfumo wa MEMKWA utasajiliwa TU usiogope!
 
Sawa. Lakini upo nje ya mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…