Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
Inatokea nadate na mwanamke, kwa muda mrefu, au muda mfupi, let's say miezi mitatu, au mwaka. Hapo unakuta manzi ananiimbia, nyimbo za malengo ya ndoa. Hata kama anajua fika kuwa nilimnunua baada ya mitongozo kusua sua. Mwamba naapply pesa. Dau linatiki na hii mbinu haijawah kuniangusha.
Sasa unakuta yeye anajua tuko kibiashara kabisa. Lakini anataka kujiweka awe mke. Na mimi ni hunter tu naepita. Maana sina jiko so nafanya tu kumtuliza huyu boy mdogo kipofu. Sasa ikitokea manzi ananiganda yaani anawaza kunigeuza niwe husband materio a.k.a simp. Mi nakataa hapo sasa unakuta tunaachana for good sake.
Ajabu ni hii ambayo nataka mnisaidie tafadhali. Ni kwanini nikiachana na hawa wanawake wanaweka chuki kali sana kwangu? Kiasi najiuliza kwani nimemfanyia nini huyu? Hata mke wangu aliponiacha aliniwekea chuki kubwa sana nikawa sielewi, nikawa najipa moyo tu kuwa ni kwasababu hakunipenda wala kunihitaji tena.
Lakini hii imeendelea kwa wanawake wengine. Japo ni wao huleta wazo la kuachana. Sijawahi kumwambia mwanamke kuwa tuachane hata kama simhitaji kabisa, wao ndio huniambia tuachane au tumeachana. Kisha baada ya hapo hufuata chuki kali mno.
Tatizo ni nini wakuu hebu tuasaidiane isijekuwa nina tatizo sehemu ikapelekea nikapigwa kisu siku moja. Maana wanawake wengine akili zao wanazijua wao. Nakaribisha mchango positive na utani kiasi, matusi yasubiri uzi wake wa matusi.