Sonko Bibo
JF-Expert Member
- May 24, 2019
- 957
- 1,493
- Thread starter
- #121
Nani anataka kumilikiwa sasa, mimi?Wanakua wamekuelewa sana so wanatamani wakumiliki uwe nao for life kitu ambacho kwako ni ndoto za bunuasi
Cc Smart911
Hapana.
Na mbaya nikikupata nakuhandle kwa uzito wa juu sana. Yaani nakusimamia ile sana kama mume wako anavyotakiwa akusimamie hadi unaanza kuniita ofisini au kwenye biashara zako nishinde na wewe nakuja siku tatu tu nakubebisha maana najua unataka uwatambie wenzako kuwa umependwa after that narudi kwenye mishe zangu.
Ila ukishaanza tu habari za kutaka kuongea na mama yangu hapo ndio unaanza kuona mvua inanyesha bila mawingu.
Maana namjua mama yangu japo anajua alichonitenda mke wangu wa ndoa bado atataka nikuoe ni jambo ambalo
Siruhusu hata uanze kupanga.
Ukianza kusema tu kuwa unataka nikuoe nakata mawasiliano nakuwa nimesimama mbali nakuzoom tu
Hapo natafuta mwingine wa kumrukia chap.