Wazoefu na wataalamu wa mapenzi nisaidieni maana sielewi shida nini?

😁😁😁Japo mimi sio nguli wa mapenzi , ila sijaelewa wanaweka vipi chuki kwako? Wanakununia? Au wanataka kukupiga , kukuwinda ? Kivipi yani umejua vipi wana chuki na wewe🀫
Hata akijua sehemu fulani kuna mchongo wako anajaribu hata auharibu tu yaani
Mixer kukunyea kwa ndugu zake so simu zitakazokuja kwako ni lawama mwanzo mwisho.
 
Hata akijua sehemu fulani kuna mchongo wako anajaribu hata auharibu tu yaani
Mixer kukunyea kwa ndugu zake so simu zitakazokuja kwako ni lawama mwanzo mwisho.
Kuna namna umewaweka karibu na wewe , ndio maana hata michongo yako inakua kwao ni rahisi kuijua ,Apo badilika wewe ,jiweke mbali nao na hata watu wenye mahusiano nao waweke mbali na wewe , jaribu kufanya michongo yako iwe siri yako , kuna wengine hata mke wake tu sio rahisi ajue michongo yake kabla haijakamilika .

Apo ni wewe ubadilike namna unavyoendesha mambo yako na kujiweka mbali na wao.
 
Haujaeleweka bhana, chuki anazifanyia wapi wakati mmeshaachana?

Au anakuwa akirudi kubweka kwako akitokea kwao?
 
Unamaanisha kuwa nikae na mwanamke mmoja kwa miaka mitano au mi ndio sijaelewa mkuu? Mamsosa
No i mean chukua aina tofauti tifauti simultaneuosly, mathalan mmoja awe na tako, mwingine kipapatio, mmoja awe na ghubu, asikosekane mwenye huba, kwenye list akikosekana mmakonde basi hakikisha umemreplace na mngindo au mdigo,mwisho japo si kwa umuhimu hakikisha pamoja na wote hao uwe na kamchepuko as backup au spare tyre!
 
Acha uzinzi wewe,wanapogundua kuwa wewe ni mzinzi na huhitaji mapenzi ya kweli lazima wakuchukie tu...
 
Ok let me make it broo
Maana maisha bila mpenzi hata hizi pesa huwezi kuzifurahia
Maana unapewa sex but ukitaka kuishi seriously unakuta mwenzio anawaza direction tofauti.
 
Ok let me make it broo
Maana maisha bila mpenzi hata hizi pesa huwezi kuzifurahia
Maana unapewa sex but ukitaka kuishi seriously unakuta mwenzio anawaza direction tofauti.
Ila nakupa angalizo mkuu, mwanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja ni liability ila mwanamke kumilikiwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwake ni asset!
 
Unakuwa umempotezea muda, mayai yanaisha umri unavyosonga... acha tu wakukasirikie, ikibidi wakutupie jini 🀣
 
Naona kuna jambo hasemi, unajua kuna wale 'me hasemi moja kwa moja terms and condition za uhusiano yaani, ni couple ya aina gani. Tunajenga au tunapita tu. Ukute ndugu mdau is just stringing along these ladies hawaelewi wanasimama wapi ndio maana wanakasirika
 
Wanawake wanajifanyaga hawaelewi,umempata kibiashara sasa ukitaka kuhamia kwingine linakuwa tatzo wakat natumia hela kuwa nae
Na hii ndio shida mkuu
Yaan yeye anajipa moyo kuwa anaweza kukubadilisha mawazo ustick kwake
Wakati huo kuna mwanamke
Ulishampa hiyo nafasi akaibwaga
Na kuiturn mind yetu.
 
Ila nakupa angalizo mkuu, mwanaume kumiliki mwanamke zaidi ya mmoja ni liability ila mwanamke kumilikiwa na mwanaume zaidi ya mmoja kwake ni asset!
Sitawamiliki per once but nitakuwa nadate na mmoja naachana nae then nachukua mwingine ili nielewe kitu.
 
Unakuwa umempotezea muda, mayai yanaisha umri unavyosonga... acha tu wakukasirikie, ikibidi wakutupie jini 🀣
Mkuu mwanamke mwenye haki ya kunidai muda wake ni mmoja tu
Yaani yule aliyeitoa bikra yake kwaajili yangu.
Hawa wengine ambao mpaka wana wachumba zao nao wanataka wachange direction niwe nao?
Kisa tu kalala na mimi once au?
But si nimemlipa?
 
Baada ya kuachana kitapita kipindi kifupi kidogo ambacho mwanamke anakua na chuki dhidi yako, kwaiyo kaa nao mbali, ukipita muda mrefu hakuna interaction yoyote kati yenu siku mtakapokuja kuonana tena inakua amani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…