Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Ok. Nawe anza kuvaa pampus mapema. Maana mtatokwa na maji maji kwa mda flani.Hello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu
Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya kumsaidia wife
Huu ni utakuwa uzao wa pili maana mara ya kwanza alienda kujifungulia kwao..
alikuwa na matatzo ya kuishiwa damu awamu ya kwanza aliongezewa akapona ulipta kama mwaka nakumbuka nlirud home usku sn nikakuta analia yuko na mama ake nikauliza shda nn mama ake akasema kamkuta analia tumbo hatukulala tuliamka alfajiri akampeleka hsptl wakampima wakasema aongezewe damu na group lake pale hawakuwa nayo wakampeleka muhimbili ikaonekana ana siko seli, wakat wanamuwekea damu ghafla kuna mabadiliko yalitokea wakaichomoa akavimba macho sku yalipopungua hayo macho nadhan kesho yake ndpo aliaga dunia ni miaka 6 sasa imepta kila nikimkumbuka hata kula nashndwa.Alipata changamoto gani mkuu?
Kliniki ulisha mpeleka mara ngapi?ushauri wote wa nini cha kufanya na namna gani utaupaataaamo.Hello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu
Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya kumsaidia wife
Huu ni utakuwa uzao wa pili maana mara ya kwanza alienda kujifungulia kwao..
Kila la kheri kwao Mungu asaidie ajifungue salama. Amina
Pole sana mkuu. Mzazi kupoteza mtoto hasa akiwa mdogo hivyo ni jambo linaloumiza sana. Mungu akutie nguvu mkuu.alikuwa na matatzo ya kuishiwa damu awamu ya kwanza aliongezewa akapona ulipta kama mwaka nakumbuka nlirud home usku sn nikakuta analia yuko na mama ake nikauliza shda nn mama ake akasema kamkuta analia tumbo hatukulala tuliamka alfajiri akampeleka hsptl wakampima wakasema aongezewe damu na group lake pale hawakuwa nayo wakampeleka muhimbili ikaonekana ana siko seli, wakat wanamuwekea damu ghafla kuna mabadiliko yalitokea wakaichomoa akavimba macho sku yalipopungua hayo macho nadhan kesho yake ndpo aliaga dunia ni miaka 6 sasa imepta kila nikimkumbuka hata kula nashndwa.
amenPole sana mkuu. Mzazi kupoteza mtoto hasa akiwa mdogo hivyo ni jambo linaloumiza sana. Mungu akutie nguvu mkuu.
Ahahaa ndo ninachokutana nacho sa hv...Nunua Dr Dre headphones utanishukuru baadae...kwa jinsi watoto wanavyolia usiku bila hizo hutoboi
Wewe jamaa si ndo unataka kuongeza mke....Vipi ulifanikiwa au..?Hata usihofu mimi nlishatoboa mara 2 bila kuwa na mtu mwngn ni mimi na mwanamke wng tu thanks GOD ALITUTETEA bt nasikitika sn mtoto mmojawapo alishafariki akiwa ameshakuwa na miaka 2 mpk leo naumia sn KWAHERI SUCCESS MUNGU AZIDI KUWA NAWE HUKO ULIKO still baba yako ninakukumbuka sn nisamehe nlipowahi kukukosea kama baba yako byeeee.
😀😀😀😀Oyaa kuna mda unaweza tamani mtoto apewe dawa ya usingiziAhahaa ndo ninachokutana nacho sa hv...
Natamani angeenda kwao kujitungulia....usiku hakuna kulala mchana kazini,mamaeee
mhHello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu
Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya kumsaidia wife
Huu ni utakuwa uzao wa pili maana mara ya kwanza alienda kujifungulia kwao..
1. jipange akajifungulie private hospital.Hello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu
Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya kumsaidia wife
Huu ni utakuwa uzao wa pili maana mara ya kwanza alienda kujifungulia kwao..
Msafirishe kama parcel mkuuHello wanaume wenzangu na wanawake wenye uzoefu na labour naombeni ABC za kumuhudumia mke wangu muda wowote anajifungua na nipo mikoa ya mbali na mikoa ya nyumbani sina experience yoyote Wala ndugu mwingine ni mimi na wife tu
Kama Kuna dondoo nisaidieni ndugu zanguni nipate namna nzuri ya kumsaidia wife
Huu ni utakuwa uzao wa pili maana mara ya kwanza alienda kujifungulia kwao..
Au mfungie kabatini usisikie sauti....ila wanasema adi miezi 3 ipite ndo atatulia.😀😀😀😀Oyaa kuna mda unaweza tamani mtoto apewe dawa ya usingizi
ndiye mimi hpn hata sjampata wala kumtafuta ndo maana nimeweka thread humu npate madini khs uamuzi wng. Asante sn kaka japo sjawahi kupoa khs tukio la kufariki kwa mtoto wng nakumbuka pia nlienda muhimbili na jeneza hakutosha ikabd nipakate mwili nikiwa na bwana mdogo mpk tuliponunulia jeneza kubadilisha its so sad.Wewe jamaa si ndo unataka kuongeza mke....Vipi ulifanikiwa au..?
Any way poleee sanaa mwambaa
Samahani huo mpira ni upi unapatikana duka za aina gani?1. jipange akajifungulie private hospital.
2. Tafuta mtu/ndugu au mfanyakazi wa kukusaidia kipindi akiwa amejifungua.
3. Elimu kuhusu afya ya mtoto, kunyonyesha, kubeba, viasharia vya hatari mtapewa na nesi hivyo uzingatie sana.
4. Andaa vya kujifungulia kama sanitary pad, vitenge/Kanga, wipes, babyshoes, mpira wa kujifungulia, Pampers, nguo za mtoto, nk.
5. Andaa pesa ya dharura na kadi zake za klini ukumbuke kwenda nazo.
6. Andaa usafiri wa kumpeleka na kumtoa hospitalini iwe bajaji au gari.
7. Mfanyishe mazoezi hasa kutembea na mengine mepesi yatamsaidia sana wakati wa kujifungua.
Aiseee umepitia mtihani mzitee mkuu.....naamini yote ni mipango ya alie juu.ndiye mimi hpn hata sjampata wala kumtafuta ndo maana nimeweka thread humu npate madini khs uamuzi wng. Asante sn kaka japo sjawahi kupoa khs tukio la kufariki kwa mtoto wng nakumbuka pia nlienda muhimbili na jeneza hakutosha ikabd nipakate mwili nikiwa na bwana mdogo mpk tuliponunulia jeneza kubadilisha its so sad.