G
guest-1788672427
Guest
- Thread starter
- #21
SawaNamba ya mtumishi ama ya mganga usikose.. Unapigana vita vyote kikubwa utoboe.
SawaNamba ya mtumishi ama ya mganga usikose.. Unapigana vita vyote kikubwa utoboe.
Hiyo Laki 9 Ni sehemu ya mtaji sio faida!Nunua byke 3 =8.1M
toa mikataba kila siku 10k kwahio kwa mwezi utakuwa na laki 9.
Bas awape day work 8000 kila siku 720,000/= kwa mwez i alafu byke zinaendelea kuwa zake mpaka siku atakapo amua kuziuza.Hiyo Laki 9 Ni sehemu ya mtaji sio faida!
Hii asijaribu atalala na viatuBiashara ya kuuza chakula , (min restaurant,) pia inatagemea upo sehemu gani.
Zipo nyingi sanaTupe hiyo biashara mkuu ambayo 10m inakupa 1m kama faida.
Kwa nini mkuuHii asijaribu atalala na viatu
Mimi nafanya kazi kwenye mgahawa najua ilivyo ngumuKwa nini mkuu
Kumbe biashara ya chakula ni biashara kichaaMimi nafanya kazi kwenye mgahawa najua ilivyo ngumu
Kupata faida ni lazima kuuza chakula chote kiishe kikibaki tu hamlipwi hela zenu maana bos anakuwa hajapata faida
Kuna mtoto wa kishua anashangaa eti 10ml kupata faida ya 1mil kwa mwezi
Kuna watu wanamitaji ya mil 5 na kwa mwezi anapata mpaka 1.5mil faida
Kuhusu kupata faida kubwa inahitajika ubunifu na juhudi katika biashara
Haifai kabisa inakulazimu uwe na wateja wengi sana na wa uhakika ambao wanalipa pesa kwa wakati wasio wakopaji na kukimbiaKumbe biashara ya chakula ni biashara kichaa
Nafaka bei za jumlaBiashara gani inaweza kukupa faida 1M kwa mwezi
Kwa mtaji wa 10MIL
Hiyo biashara ilinipa kipigo kitakatifu.Haifai kabisa inakulazimu uwe na wateja wengi sana na wa uhakika ambao wanalipa pesa kwa wakati wasio wakopaji na kukimbia
Na chakula kikibaki huna pa kukipeleka kwa kifupi ni changamoto madeni mengi sana kwa wenye migahawa