Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
Na kunabiashara 200k faida 1m+
kWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wako

Mfano kuna mama alikuwa anauza vile vipande vya kuku anakwambia kwa siku anapata mpaka 30,000 faida

Kuna madogo wale wanaoosha magari yakiwa kwenye foleni kuna dogo alisema anapata mpaka 50,000 kwa siku

Kuna boda wanakesha kwenye haya majiji wanapiga mpaka 50,000+ kila siku
 
Hakika Mkuu ukiipatia biashara, faida unapata tena faida kubwa sana.
 
Mama muongo wewe 😹😹
Muda wote upo JF unaswampa, huo muda wa kuhudumia wateja unafanya saa ngapi?
Daaah mpaka nimechekaa, so mnakutana mida mingi JF..

Ila hii umeenda sana personal jmni, na huo ni ukorofi wa chinichini.

Hahha
 
Duka la mangi la 3.5M likuingizie faida ya 1.2M? Mbona sasa hata ukiwa unauza duka lote panabaki patupu haupati hiyo faida? 😂😂😂
Kwa mtaji wa 10M kuingiza faida 1M n simple sana.
Mimi nna duka( Mangi shop) la milion 3.5 kwa mwenzi nnaingiza 1.2M. Yaaan kila siku nna save 40k.
 
kWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wako

Mfano kuna mama alikuwa anauza vile vipande vya kuku anakwambia kwa siku anapata mpaka 30,000 faida

Kuna madogo wale wanaoosha magari yakiwa kwenye foleni kuna dogo alisema anapata mpaka 50,000 kwa siku

Kuna boda wanakesha kwenye haya majiji wanapiga mpaka 50,000+ kila siku
Story za kuna mama,kuna dada,kuna nani sjui 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
 
Duka la mangi la 3.5M likuingizie faida ya 1.2M? Mbona sasa hata ukiwa unauza duka lote panabaki patupu haupati hiyo faida? 😂😂😂

Duka la mangi la 3.5M likuingizie faida ya 1.2M? Mbona sasa hata ukiwa unauza duka lote panabaki patupu haupati hiyo faida? 😂😂😂
Kwan ww umewah kufanya hii Biashara mkuu. Mangi shop pesa inapatikana hyo 1.2M kwa mwez. Yaan kila siku nnatoa 40k kama ndio faida. Na Duka bado lipo vzur tu kk
 
Fungua danguro nenda uko mikoan chukua watoto wazuri weupe uje uwapangishie nyumba nzuri twn zen wauze kwa sku unaweza pata faida ata ya 500,000

Mi kwa uelewa wangu akuna faida ya milion 1 kwa mwez kwa mtaji wa milioni 10, siwez kukupinga wala siwez wapinga watakao kupa mawazo ila ni ngumu sana, faida ya milion1 kwa mwezi sio kitu kidgo labda ufanye kaz sana km punda.
 
Kwa uelewa wangu unaposema mtaji maana yake ni pesa ya kuanzishia biashara na sio pesa ya mzigo
Unapotaka kuanzisha biashara kuna vibari maana yake leseni,tra lakin pia kua pango la nyumba ya biashara, kuna matangazo na kuna garama za kufata mzgo ivyo ni baadhi tu

Sasa una 10 milion km mtaji baada ya mambo yote pesa ya mzgo apo ni km 9/8 milion
 
Anhaa sawa Mkuu nimekupata.
Pmj mkuu, kazi zipo kibao tatizo watu wamekalia vibiashara vya kuigana igana. Mfano Kuna Moja naisukuma naingiza mizigo Toka Zambia, congo. Imagine mzigo wa thamani ya zaidi ya mil 20 kwa mwezi unaisha unadhani hapo profit ni kias gan per month?
 
kWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wako

Mfano kuna mama alikuwa anauza vile vipande vya kuku anakwambia kwa siku anapata mpaka 30,000 faida

Kuna madogo wale wanaoosha magari yakiwa kwenye foleni kuna dogo alisema anapata mpaka 50,000 kwa siku

Kuna boda wanakesha kwenye haya majiji wanapiga mpaka 50,000+ kila siku
Hiyo ya boda nakubali, pale Lumumba mbele ya ushirika tower wanalala na hela iliyonona kwelkweli
 
Pmj mkuu, kazi zipo kibao tatizo watu wamekalia vibiashara vya kuigana igana. Mfano Kuna Moja naisukuma naingiza mizigo Toka Zambia, congo. Imagine mzigo wa thamani ya zaidi ya mil 20 kwa mwezi unaisha unadhani hapo profit ni kias gan per month?
Hakika Mkuu inatakiwa kufikiri tofauti sio kimazoea mazoea. Pia naona Kuna uhaba mkubwa wa sisi vijana/Watanzania kupeana information muhimu kama hizi.

Information/ ideas nyingi tunazo peana kila siku ni zilezile mfano(Nunua bajaji, uza chakula, tafuta odd 2.5, nunua pikipiki, kuuza dagaa n.k) hakuna new information kama hii uliyo share wewe hapa.
 
Pmj mkuu, kazi zipo kibao tatizo watu wamekalia vibiashara vya kuigana igana. Mfano Kuna Moja naisukuma naingiza mizigo Toka Zambia, congo. Imagine mzigo wa thamani ya zaidi ya mil 20 kwa mwezi unaisha unadhani hapo profit ni kias gan per month?
Mkuu nina mpango wakuingia Zambia pesa yao nzuri sana lazima niingie Lusaka naendelea kukusanya information.
 
Back
Top Bottom