Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
Zipo nyingi sana

Hyo ten mil ukipata location nzuri ya kuuza magodoro na mito kwa mwezi hukosi 1 mil yaan kwa siku unauza godoro tatu tu

Biashara ya mifugo minadani,unanunua ng'ombe vijijin kwa wafugaji unaipeleka kwa minadani kwa kila wiki ukiwa unapeleka mifugo kwa minada mbalimbali kwa mwezi hukosi 1mil

Hata biashara ya ununuzi wa madini,kama nyota yako iko vizuri na hukurupuki kwenye ununuzi wa mchanga na madini yenyew huwez kosa 1mil kwa mwezi

Nunua bajaj 8 mil endesha mwenyew hukosi hyo 1mil kwa mwezi kama upo dar

Kuna watu wanachoma chips ana vibanda vinne ambavyo gharama ya kuvitengeneza yaan mtaji kwa ujumla hata hauzidi mil 4 wanatengeneza hyo 1mil kwa mwezi
Hapo kidogo bajaji na hiyo ya mnadani
 
Kwa 10m unatengeneza hadi 3m kwa mwezi kama faida. Ni wewe mwenyewe kusimamia hiyo biashara bila kusubiri mfanyakazi. Fanya utafiti kwanza nini unaweza kufanya kwenye maeneo uliyopo.USIKURUPUKE. Mimi napata faida 6.6m kwenye mtaji wa 10m. Ila sina off day na duka nafungua saa 2 asubuhi na kufunga saa 5 usiku kila siku. Location niliyopo haina kulala watu wapo karibu muda wote.
Congratulation
 
Usiamini ushauri unaoanza na "kuna watu". Watu wapo sawa,ila siyo rahisi kiasi hicho

BIashara ya 10M unaweza chukua hata miezi 6 ndiyo uanze faida,tuacheni kurahisisha kana kwamba biashara ni rahisi kiasi hicho

Biashara za mitaji ya 10M ni mapambano sana,inahitaji upambane jasho na damu ndiyo uanze kuipata faida,na hiyo faida ya 1M,kutoa operation costs mauzo yake ni yamenyooka ambayo kama unaanza ni kazi sana kuipata.

Watu watasema kuna watu this watu that wtf🚮🚮
 
Kwa 10m unatengeneza hadi 3m kwa mwezi kama faida. Ni wewe mwenyewe kusimamia hiyo biashara bila kusubiri mfanyakazi. Fanya utafiti kwanza nini unaweza kufanya kwenye maeneo uliyopo.USIKURUPUKE. Mimi napata faida 6.6m kwenye mtaji wa 10m. Ila sina off day na duka nafungua saa 2 asubuhi na kufunga saa 5 usiku kila siku. Location niliyopo haina kulala watu wapo karibu muda wote.
Mama muongo wewe 😹😹
Muda wote upo JF unaswampa, huo muda wa kuhudumia wateja unafanya saa ngapi?
 
Hata mimi nimeshangaa watu wanavoona haiwezekani!
Binafsi nina kibiasharq kilianza na ml 3.5 nikawa naingiza around 300,000 kwa mwezi.
Kwa sasa mtaji umefika 6.5ml na napata 650,000=700,000. Kwa mwezi.
Kwanini 10ml. Isiingize 1ml kwa mwezi?
Kumbuka ww ulianzia msingi na sasa changamoto zote unazijua ndiomaana mtaji umekua na wateja unao tayari. Sasa yeye anataka aanzie kwenye neema. Biashara haiko hivyo. Hapo anaweza akadumbukiza hicho kiasi na kikapotea kimiujiza akabaki analia. Ushauri awekeze nusu yake asikilizie akiona muelekeo mzuri anaweza kujazilizia iliyobaki
 
My dear. Karibu tuwe partiners kwenye biashara, uhakika wa kupata faida kwa mwezi 500,000 ni 100%. Hautahusika na operations costs. Utakapopata biashara ya kukuingizia 1M kwa mwezi unajitoa wakati wowote unaenda fanya hiyo.
 
Back
Top Bottom