Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
Fikiria kwanza biashara ndogo inayoweza kukupa faida ya 5000 kwa siku kwa uwekezaji mdogo.
 
Hakika Mkuu inatakiwa kufikiri tofauti sio kimazoea mazoea. Pia naona Kuna uhaba mkubwa wa sisi vijana/Watanzania kupeana information muhimu kama hizi.

Information/ ideas nyingi tunazo peana kila siku ni zilezile mfano(Nunua bajaji, uza chakula, tafuta odd 2.5, nunua pikipiki, kuuza dagaa n.k) hakuna new information kama hii uliyo share wewe hapa.
ndio hivyo mkuu. kwenye maisha jiongeze then omba neema na bahati viwe upande wako. Ukishapata njia wala hutumii nguvu sana kuiona pesa
 
Kuna mtoto wa kishua anashangaa eti 10ml kupata faida ya 1mil kwa mwezi

Kuna watu wanamitaji ya mil 5 na kwa mwezi anapata mpaka 1.5mil faida

Kuhusu kupata faida kubwa inahitajika ubunifu na juhudi katika biashara
Hapo umeongea kupatikana kwa hiyo faida inategemea aina ya biashara,uzoefu na juhudi za mtu binafsi ila inawezekana.
 
kWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wako

Mfano kuna mama alikuwa anauza vile vipande vya kuku anakwambia kwa siku anapata mpaka 30,000 faida

Kuna madogo wale wanaoosha magari yakiwa kwenye foleni kuna dogo alisema anapata mpaka 50,000 kwa siku

Kuna boda wanakesha kwenye haya majiji wanapiga mpaka 50,000+ kila siku
Uko sahihi,kupata faida ni ujanja wako sio ukubwa wa mtaji.
Kuna watu ni madalali na mawinga tu na wanaingiza zaidi ya 1m kwa mwezi
 
Okay inaonekana uko location nzuri na hauna wapinzani wengi maana maeneo ninayokaa mimi kwenye kila nyumba 10 kuna maduka 4 ya Waha.
Hyo Location mbaya. Mimi nna deal na Mama ntilie. Wanakopa Asbh sana na kulipa jion.
 
Hyo Location mbaya. Mimi nna deal na Mama ntilie. Wanakopa Asbh sana na kulipa jion.
ooh hapo sawa.
Hiyo sasa ndio mbinu ya kibiashara ya kujiongeza tuliyokuwa tunamwambia muanzisha uzi.
Biashara yoyote inaweza kukuliza ukiwa unajiongeza na kufikiria nje ya box kisha unapata mbinu mpya ya kukabiliana na ushindani wa soko ila ukibweteka hutoboi.
 
Back
Top Bottom