Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
Hapo kidogo bajaji na hiyo ya mnadani
 
Congratulation
 
Usiamini ushauri unaoanza na "kuna watu". Watu wapo sawa,ila siyo rahisi kiasi hicho

BIashara ya 10M unaweza chukua hata miezi 6 ndiyo uanze faida,tuacheni kurahisisha kana kwamba biashara ni rahisi kiasi hicho

Biashara za mitaji ya 10M ni mapambano sana,inahitaji upambane jasho na damu ndiyo uanze kuipata faida,na hiyo faida ya 1M,kutoa operation costs mauzo yake ni yamenyooka ambayo kama unaanza ni kazi sana kuipata.

Watu watasema kuna watu this watu that wtf๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Mama muongo wewe ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Muda wote upo JF unaswampa, huo muda wa kuhudumia wateja unafanya saa ngapi?
 
Hata mimi nimeshangaa watu wanavoona haiwezekani!
Binafsi nina kibiasharq kilianza na ml 3.5 nikawa naingiza around 300,000 kwa mwezi.
Kwa sasa mtaji umefika 6.5ml na napata 650,000=700,000. Kwa mwezi.
Kwanini 10ml. Isiingize 1ml kwa mwezi?
Kumbuka ww ulianzia msingi na sasa changamoto zote unazijua ndiomaana mtaji umekua na wateja unao tayari. Sasa yeye anataka aanzie kwenye neema. Biashara haiko hivyo. Hapo anaweza akadumbukiza hicho kiasi na kikapotea kimiujiza akabaki analia. Ushauri awekeze nusu yake asikilizie akiona muelekeo mzuri anaweza kujazilizia iliyobaki
 
My dear. Karibu tuwe partiners kwenye biashara, uhakika wa kupata faida kwa mwezi 500,000 ni 100%. Hautahusika na operations costs. Utakapopata biashara ya kukuingizia 1M kwa mwezi unajitoa wakati wowote unaenda fanya hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ