Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 7,591
- 23,296
kWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wakoNa kunabiashara 200k faida 1m+
Hakika Mkuu ukiipatia biashara, faida unapata tena faida kubwa sana.kWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wako
Mfano kuna mama alikuwa anauza vile vipande vya kuku anakwambia kwa siku anapata mpaka 30,000 faida
Kuna madogo wale wanaoosha magari yakiwa kwenye foleni kuna dogo alisema anapata mpaka 50,000 kwa siku
Kuna boda wanakesha kwenye haya majiji wanapiga mpaka 50,000+ kila siku
Biashara gani Mkuu tunaandika nondo?Mimi Kuna business mwaka 2021 nilianza na mtaji wa mil 1.7. 2022 ulikua mpaka mil 9.
Wapi Hapo Mkuu?Fanya kati ya nchi jirani na Tanzania hio 1M unapata kwa wiki.
Pipi ivory iringa boss.Biashara gani Mkuu tunaandika nondo?
Nilikuwa nafikiri shisha ni moshi, kumbe ni kinywaji?!Elfu 10 kikombe kimoja.
TUlikuwa tunachukua mzigo hapo kiwandani kupitia mtu mwenye lesen then tunasambazaBiashara gani Mkuu tunaandika nondo?
Daaah mpaka nimechekaa, so mnakutana mida mingi JF..Mama muongo wewe 😹😹
Muda wote upo JF unaswampa, huo muda wa kuhudumia wateja unafanya saa ngapi?
Kwa mtaji wa 10M kuingiza faida 1M n simple sana.
Mimi nna duka( Mangi shop) la milion 3.5 kwa mwenzi nnaingiza 1.2M. Yaaan kila siku nna save 40k.
Story za kuna mama,kuna dada,kuna nani sjui 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮kWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wako
Mfano kuna mama alikuwa anauza vile vipande vya kuku anakwambia kwa siku anapata mpaka 30,000 faida
Kuna madogo wale wanaoosha magari yakiwa kwenye foleni kuna dogo alisema anapata mpaka 50,000 kwa siku
Kuna boda wanakesha kwenye haya majiji wanapiga mpaka 50,000+ kila siku
Duka la mangi la 3.5M likuingizie faida ya 1.2M? Mbona sasa hata ukiwa unauza duka lote panabaki patupu haupati hiyo faida? 😂😂😂
Kwan ww umewah kufanya hii Biashara mkuu. Mangi shop pesa inapatikana hyo 1.2M kwa mwez. Yaan kila siku nnatoa 40k kama ndio faida. Na Duka bado lipo vzur tu kkDuka la mangi la 3.5M likuingizie faida ya 1.2M? Mbona sasa hata ukiwa unauza duka lote panabaki patupu haupati hiyo faida? 😂😂😂
Anhaa sawa Mkuu nimekupata.TUlikuwa tunachukua mzigo hapo kiwandani kupitia mtu mwenye lesen then tunasambaza
Pmj mkuu, kazi zipo kibao tatizo watu wamekalia vibiashara vya kuigana igana. Mfano Kuna Moja naisukuma naingiza mizigo Toka Zambia, congo. Imagine mzigo wa thamani ya zaidi ya mil 20 kwa mwezi unaisha unadhani hapo profit ni kias gan per month?Anhaa sawa Mkuu nimekupata.
Hiyo ya boda nakubali, pale Lumumba mbele ya ushirika tower wanalala na hela iliyonona kwelkwelikWeli kabisa mkuu zipo,yaan ni bahati na ujuaji wako na mungu wako
Mfano kuna mama alikuwa anauza vile vipande vya kuku anakwambia kwa siku anapata mpaka 30,000 faida
Kuna madogo wale wanaoosha magari yakiwa kwenye foleni kuna dogo alisema anapata mpaka 50,000 kwa siku
Kuna boda wanakesha kwenye haya majiji wanapiga mpaka 50,000+ kila siku
Hakika Mkuu inatakiwa kufikiri tofauti sio kimazoea mazoea. Pia naona Kuna uhaba mkubwa wa sisi vijana/Watanzania kupeana information muhimu kama hizi.Pmj mkuu, kazi zipo kibao tatizo watu wamekalia vibiashara vya kuigana igana. Mfano Kuna Moja naisukuma naingiza mizigo Toka Zambia, congo. Imagine mzigo wa thamani ya zaidi ya mil 20 kwa mwezi unaisha unadhani hapo profit ni kias gan per month?
Mkuu nina mpango wakuingia Zambia pesa yao nzuri sana lazima niingie Lusaka naendelea kukusanya information.Pmj mkuu, kazi zipo kibao tatizo watu wamekalia vibiashara vya kuigana igana. Mfano Kuna Moja naisukuma naingiza mizigo Toka Zambia, congo. Imagine mzigo wa thamani ya zaidi ya mil 20 kwa mwezi unaisha unadhani hapo profit ni kias gan per month?