Wazoefu wa Biashara naombeni wazo la biashara

  • Thread starter Thread starter guest-1788672427
  • Start date Start date
Fikiria kwanza biashara ndogo inayoweza kukupa faida ya 5000 kwa siku kwa uwekezaji mdogo.
 
ndio hivyo mkuu. kwenye maisha jiongeze then omba neema na bahati viwe upande wako. Ukishapata njia wala hutumii nguvu sana kuiona pesa
 
Kuna mtoto wa kishua anashangaa eti 10ml kupata faida ya 1mil kwa mwezi

Kuna watu wanamitaji ya mil 5 na kwa mwezi anapata mpaka 1.5mil faida

Kuhusu kupata faida kubwa inahitajika ubunifu na juhudi katika biashara
Hapo umeongea kupatikana kwa hiyo faida inategemea aina ya biashara,uzoefu na juhudi za mtu binafsi ila inawezekana.
 
Kwa mtaji wa 10M kuingiza faida 1M n simple sana.
Mimi nna duka( Mangi shop) la milion 3.5 kwa mwenzi nnaingiza 1.2M. Yaaan kila siku nna save 40k.
Kwenye hiyo elfu 40 umepigia hesabu matumizi yote maana hapo ukitoa matumizi yote utabakiwa na elfu 10 au 20 kimahesabu
 
Uko sahihi,kupata faida ni ujanja wako sio ukubwa wa mtaji.
Kuna watu ni madalali na mawinga tu na wanaingiza zaidi ya 1m kwa mwezi
 
Okay inaonekana uko location nzuri na hauna wapinzani wengi maana maeneo ninayokaa mimi kwenye kila nyumba 10 kuna maduka 4 ya Waha.
Hyo Location mbaya. Mimi nna deal na Mama ntilie. Wanakopa Asbh sana na kulipa jion.
 
Hyo Location mbaya. Mimi nna deal na Mama ntilie. Wanakopa Asbh sana na kulipa jion.
ooh hapo sawa.
Hiyo sasa ndio mbinu ya kibiashara ya kujiongeza tuliyokuwa tunamwambia muanzisha uzi.
Biashara yoyote inaweza kukuliza ukiwa unajiongeza na kufikiria nje ya box kisha unapata mbinu mpya ya kukabiliana na ushindani wa soko ila ukibweteka hutoboi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…