Ngoja waje wenyeji wa hizo area,, sema hakuna kitu kizuri kama kusafiri pia sehemu tofauti ukiwa na usafiri private ,,unaenjoy sana mkuu,,namimi nikipata hata Maybach kama ya hamorapa ile nitazulula nayo sana,,Nina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar.
Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi.
Mahitaji yangu:
- Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights.
- Njia gani ni nzuri maana Google Maps ananiambia Manyoni Kuna njiapanda.
- Nilipanga nikitoka Kahama, nitembelee Geita, Katoro, Chato, Mwanza, hafu nirudi Dar. Njia zipoje hapa, na mipango iendaje?
- Wakati wa kurudi nilipenda nisirudi njia Ile ile (kama Kuna option) kama hakuna sawa.
View attachment 3679457
Google Maps kasema hivi, total ni Kilometa 2,700 kwenda na kurudi, kwa formula yangu ya kuendesha chini ya Kilometa 500 kwa siku, mchana tu inamaana itakua siku 5 hivi.
Exception ya kuendesha zaidi ya 500 km ni kuanzia Dodoma kuja Dar, hapo naweza endesha zaidi na ata usiku.
Wazoefu waliosafiri recently hizo njia ushauri.
Note: Nitatumia gari Dogo Honda Fit, budget ya Mafuta nimeweka Tsh 400,000 top.
Hahahaa Haina haja ya MB ata pikipiki tu, ukishaanza kutoka nje ya Kibaha tu unaanza kufeel different vibeNgoja waje wenyeji wa hizo area,, sema hakuna kitu kizuri kama kusafiri pia sehemu tofauti ukiwa na usafiri private ,,unaenjoy sana mkuu,,namimi nikipata hata Maybach kama ya hamorapa ile nitazulula nayo sana,,
Hahaha shukrani. Hapo kwenye rough road hapo. Nawezaje kuikwepa rough road, kama Hakuna option ya kuikwepa itabidi nipige chini. Kilometa 60 za rough road nyingi sana.Ihhhh kinehe mola sana....mwadela ...kamwene
1. Tuazie katoro from kahama ...we kaingilie ushirombo ..then kuitafuta katoro kuna junction hapo kupitia lulembela n rough road its almost 60km +98km from kahama
2. Chato ni simple tu ukiwa katoro sepa had BWANGA kula kulia n moja kwa moja had kwa hayat lami kwa lami
3. Sasa kwa mwaza utarud na the same route had geita mjini (chato ,bwanga,katoro ,geita mjni) ...sengerema ..busisi usagala chek mwanza dsm road itafuta nyege nyegez ilipo ushafika ...
ulza kingne ndg mwanazengo
Hakika Mkuu lakini pikipiki kwa sasa hapana nilishamiliki ikitaka kuniuwa pamoja na umakini wangu,,saivi hata mkweche wa Maybach kama wa hamorapa,,ila pikipiki nilimuona mtoa roho Ile ni risk sana.Hahahaa Haina haja ya MB ata pikipiki tu, ukishaanza kutoka nje ya Kibaha tu unaanza kufeel different vibe
Option ipo from kahama itafute ruzewe nenda bwanga kituo kinachofata katoro au nyooka road to mwaza fika busisi ,sengerema, geita mjni to katoro soo n ww tuHahaha shukrani. Hapo kwenye rough road hapo. Nawezaje kuikwepa rough road, kama Hakuna option ya kuikwepa itabidi nipige chini. Kilometa 60 za rough road nyingi sana.
Kuna njia nyingine, Dar - Dom- Manyoni-Itigi-Tabora-Nzega-Kahama nayo ni lami tupu na ina malori machache sana.Njia ni ile like tu : Dar-dom-manyoni-singida-nzega-tinde-kahama
Kusema hutaki kurudia njia hii ni kujiongopea, maana labda uzunguke kutoka kahama kwenda nyakanazi-kasulu-uvinza-mpanda-sumbawanga-mbeya-iringa-Dar
Nb: njia kwenye hiyo ramani ni outdated.
Ufike manyoni uende itigi alafu uende tabora then urudi nzega ili uitafute kahama? Mzunguko utakua mkubwa kuliko kunyooka moja Kwa moja kutoka manyoni kwenda kahamaKuna njia nyingine, Dar - Dom- Manyoni-Itigi-Tabora-Nzega-Kahama nayo ni lami tupu na ina malori machache sana.
NAONA UNATAFUTA MAFUA MAKALI WE NJOO UONE NI JANGWA TUPUNina safari ya Dar - Kahama, Kikazi, ila nitafanya kazi siku 2 tu then narudi Dar.
Sasa nilipenda nitumie hii chance kutembelea mikoa/wilaya nyingine za Kanda ya ziwa, wakati narudi.
Mahitaji yangu:
- Kwenda nisiendeshe zaidi ya 500 km kwa siku, kwahiyo Njiani nilale 2 nights.
- Njia gani ni nzuri maana Google Maps ananiambia Manyoni Kuna njiapanda.
- Nilipanga nikitoka Kahama, nitembelee Geita, Katoro, Chato, Mwanza, hafu nirudi Dar. Njia zipoje hapa, na mipango iendaje?
- Wakati wa kurudi nilipenda nisirudi njia Ile ile (kama Kuna option) kama hakuna sawa.
View attachment 3679457
Google Maps kasema hivi, total ni Kilometa 2,700 kwenda na kurudi, kwa formula yangu ya kuendesha chini ya Kilometa 500 kwa siku, mchana tu inamaana itakua siku 5 hivi.
Exception ya kuendesha zaidi ya 500 km ni kuanzia Dodoma kuja Dar, hapo naweza endesha zaidi na ata usiku.
Wazoefu waliosafiri recently hizo njia ushauri.
Note: Nitatumia gari Dogo Honda Fit, budget ya Mafuta nimeweka Tsh 400,000 top.
Ishi hapaIhhhh kinehe mola sana....mwadela ...kamwene
1. Tuazie katoro from kahama ...we kaingilie ushirombo ..then kuitafuta katoro kuna junction hapo kupitia lulembela n rough road its almost 60km +98km from kahama
2. Chato ni simple tu ukiwa katoro sepa had BWANGA kula kulia n moja kwa moja had kwa hayat lami kwa lami
3. Sasa kwa mwaza utarud na the same route had geita mjini (chato ,bwanga,katoro ,geita mjni) ...sengerema ..busisi usagala chek mwanza dsm road itafuta nyege nyegez ilipo ushafika ...
ulza kingne ndg mwanazengo
kana hutaki rafu rodi pitia shinyanga nyooka mpka misungwi nyooka mpaka usagara hapo kunanjia ya kwenda geta, ila full rami now days au unaweza pitiliza toka usqgara mpaka mwanza mjini kula round utanikuta hapo nimechili, then rudi zako motoni darHahaha shukrani. Hapo kwenye rough road hapo. Nawezaje kuikwepa rough road, kama Hakuna option ya kuikwepa itabidi nipige chini. Kilometa 60 za rough road nyingi sana.
Hakuna utofauti wa umbali. Utofauti ni kilometa 40 pekee ambao kwa safari binafsi sio kitu na ukizingatia hali ya barabara hizo 40 zinazoongezeka unafidia na barabara nzuri na uchache wa malori so unatembea tuUfike manyoni uende itigi alafu uende tabora then urudi nzega ili uitafute kahama? Mzunguko utakua mkubwa kuliko kunyooka moja Kwa moja kutoka manyoni kwenda kahama
Dar-Dom-Manyoni-Tabora-Nzega-Tinde-Kahama.Njia ni ile like tu : Dar-dom-manyoni-singida-nzega-tinde-kahama
Kusema hutaki kurudia njia hii ni kujiongopea, maana labda uzunguke kutoka kahama kwenda nyakanazi-kasulu-uvinza-mpanda-sumbawanga-mbeya-iringa-Dar
Nb: njia kwenye hiyo ramani ni outdated.