Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

Opportunity Cost

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2020
Posts
9,034
Reaction score
6,913
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
 
Unawashukutumu kina nani ?
Wazungu
Wafanya Mikutano ambao ni Wazungu
Walokole
Au watu wanaotoka nchi nyingine

Kama issue ni Mikutano na Mikusanyiko je ikifanywa na watu wasio na injili ni sawa ?
Issue ni ipi
Kuambukizwa Corona Au?
Na kama issue ni maambukizi lawana ni kwa wanaokuja au wanaolinda mipaka yetu kuchuja / kupima wanaokuja...
 
Ikulu yupo nani vile!
Madame Samia Suluhu Hassan
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania

Hapa Tupo Wapi Vilee
Oops!!! Chettle....... Yule Mwenzetu Anaitwaje...
😀😁😂😃😄😅😆😗😅😄😃😃
 
Back
Top Bottom