Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

Inamaana mpaka leo haiujui nyungu ? Tulishaachana na mambo ya corona toka ,Mwezi Mei 2020 ambapo tulikuwa na jumla ya wagonjwa 509 na vifo 21 ambavyo vilisababishwa na hiyo corona !
20210201_204424.jpg
 
U
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.

Tanzania hatujazuia mikusanyiko ndiyo maana rais anafanya mikutano ya hadhara
Vilevile hatujazuia watu wa nchi zingine kuingia
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Nami nakuunga mkono. Iko namna. Tuwe makini.
 
Back
Top Bottom