Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

Inamaana mpaka leo haiujui nyungu ? Tulishaachana na mambo ya corona toka ,Mwezi Mei 2020 ambapo tulikuwa na jumla ya wagonjwa 509 na vifo 21 ambavyo vilisababishwa na hiyo corona !View attachment 1820768
Mmeachana nayo wakati mganga wa kienyeji Doro ndio anawataka watu wavae barakoa sasa.
 
Tatizo ni mzungu, mlokole, ama
mahubiri???
Mbona hujazungumzia watalii wanaomiminika kwa wingi serengeti.
Kuishi kwa kujihisi ni ugonjwa mbaya sana, binadamu wote tu sawa rangi yetu ni moja rangi ya damu tambua kuna watu wakatili sana kutoka hata kwa familia yako zaidi ya huyo mzungu unayemhukumu. Ndo maana rastafarian tunaeneza upendo na si chuki kazi ya kuhukumu si yako.
 
Bora watalii wanakuja ku spend sio mambo ya kijinga haya ya eti kuhubiri,hawa mapunga wanakuja kufanya nini huku?

Somalia,Nigeria,Mynmar Gaza hawakuoni ili wakahubiri amani na wokovu huko? DRC je.

.Hivi watoa vibali kwa nini mnaacha watu wetu wanafanyiwa ujasiriamali ilhali mnajua Tzn hii ina wajinga wengi?
 
Wewe ni mchawi au una mashetani?

Acha injili ipigwe, mchawi mkubwa wewe!

Hirizi ulizovaa kiunoni zinatingishika?
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Inaonyesha uko mbali na Vyombo vya Habari au pia siyo Mfuatiliaji wa mambo ( Current Affairs ) za Kidunia kama walivyo Watanzania wengi.

Kwa taarifa yako tu ni kwamba Wimbi la Tatu la Corona limeshagundulika duniani na sasa linajulikana kama ' Delta Variant ' lifuatilie haraka.
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Unawashukutumu kina nani ?
Wazungu
Wafanya Mikutano ambao ni Wazungu
Walokole
Au watu wanaotoka nchi nyingine

Kama issue ni Mikutano na Mikusanyiko je ikifanywa na watu wasio na injili ni sawa ?
Issue ni ipi
Kuambukizwa Corona Au?
Na kama issue ni maambukizi lawana ni kwa wanaokuja au wanaolinda mipaka yetu kuchuja / kupima wanaokuja...

mkuu hebu mjibu kwanza huyu mdau aliyeuliza hayo maswali.
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
wazungu hawafanyaji jambo kwa hasara...
 
sio kila mzungu anatoka ulaya mzee. na mashoga wapo kila mahala shida ni utamadun tu. wenzetu hawanaga tabia za kumdanganya Mungu. akiwa shoga anaweka waz na akiwa kwenye ibada hvyo hivyo.
 
Hii mikutano imekuwa ikitumia gharama kubwa kujitangaza sana na kwanini iwe hivi mikutano itumie pesa kubwa kiasi hichi
Kwani shida ni nini, ukizingatia hatumii pesa ya mtu,mikutano yao hachukui ht sadaka ni pesa zao shida iko wapi?
Biblia imesema injili itahubiriwa hata kwa hila ilimradi watu waokolewe!
 
Bora watalii wanakuja ku spend sio mambo ya kijinga haya ya eti kuhubiri,hawa mapunga wanakuja kufanya nini huku?

Somalia,Nigeria,Mynmar Gaza hawakuoni ili wakahubiri amani na wokovu huko? DRC je.

.Hivi watoa vibali kwa nini mnaacha watu wetu wanafanyiwa ujasiriamali ilhali mnajua Tzn hii ina wajinga wengi?
We unawajua? Au huwa mnapenda tu kuongea vitu msivyovifahamu! Unafuatilia mikutano yao,wanachofanya,ili ukija kuandika use unaelewa unacholalamikia?hizo nchi ulizotaja unajuaje km hawajafika? Yaani kinachokuuma ni nn haswa?
Kwa kifupi wamemaliza siku 5 kusini,mwaka Jana walikuwa pande za Arusha huko wakamaliza,na wameenda maeneo mengine mpk wamalize walichotumwa wataenda sehem nyingine,yaami bado wapo na hakuna wa kuwaondoa labda km walijituma!

Eti mapunga,hawa wa kwenu huwaoni wamejaa mashoga na wasagaji unawaona wazungu tu,hahaaa!
Na huo ujasiriamali umefanyiwa wapi? Tuambie wakati mikutano yao marufuku kutoa sadaka; au unajisikia tu kuongea!

Yesu anarudi injili itahubiriwa popote haijalishi na mzungu au muafrika mpk kieleweke!
 
Back
Top Bottom