ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Sitetei ushoga na siupendi lkn hayo unayosema umeyatoa wapi ilihari washirikina pia wana ibaada ya ibilisi?Ushoga siyo dhambi ya kawaida, ni chukizo kuu....ni kukengeuka kifikra na kimtazamo kumwelekea ibilisi, yaani unafanya ibada kwa ibilisi live....