Joseph lebai
JF-Expert Member
- Jul 19, 2017
- 8,452
- 8,670
Tuwe macho kwani hata wamisionari walioleta dini walikuwa na nia ya kuitawala Afrika. Walituachia Biblia tuendelee kufunga macho kwa kusali ila wao wanachapa kazi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unasahau jambo moja:, ukristo umekuwepo Africa kabla ya wamisionaliTuwe macho kwani hata wamisionari walioleta dini walikuwa na nia ya kuitawala Afrika. Walituachia Biblia tuendelee kufunga macho kwa kusali ila wao wanachapa kazi.
Unachangia kiasi chochote katika hiyo pesa?Hii mikutano imekuwa ikitumia gharama kubwa kujitangaza sana na kwanini iwe hivi mikutano itumie pesa kubwa kiasi hichi
Mbona uarabuni wamejazana kibao, Kama ilivyo mikoa ya pwani na hapa unguja?!!!!huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Acha wivu, kunywa maji m
Hawajaanza kuja leo, tangu miaka hiyo wazungu wanakuja kuhubiri injiliNdugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.
Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.
Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?
Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.
Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Futa kauli yako mkuu sidhani kama kuhubiri neno la Mungu kwa imani ya mtu husika ni jambo la kijinga.Bora watalii wanakuja ku spend sio mambo ya kijinga haya ya eti kuhubiri,hawa mapunga wanakuja kufanya nini huku?
Somalia,Nigeria,Mynmar Gaza hawakuoni ili wakahubiri amani na wokovu huko? DRC je.
.Hivi watoa vibali kwa nini mnaacha watu wetu wanafanyiwa ujasiriamali ilhali mnajua Tzn hii ina wajinga wengi?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Wapigwe tu kwa kweli. Ndilo fungu waliloamua kulichagua bila shuruti
Inshu ni wamisionary na ukristo ama inshu ni eneo Yesu alipozaliwa?.Fafanua"ukristu ulikuwa Afrika kabla ya wamisionari" Yesu alizaliwa Uyahudini, nani angefahamisha Afika kama yupo? Labda useme kuna Yesu Mwafrika. Hakika tulipokea neno bila kuhoji.
Hii mikutano ya injili ya wazungu ilianza zamani za kale,tangu miaka ya 90,maubili kama haya yalikuwa yanafanyika pale jangwani Dar,Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.
Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.
Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?
Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.
Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Hawa ni wahuni zaidiMissionary wamerudi..??
Hizo ni project za magumashi. Kuna wapelelezi. Kuna waganga njaa na kuna wahubiri. Ila ndio dunia yetu ilivyoNdugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.
Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.
Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?
Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.
Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Ushoga siyo dhambi ya kawaida, ni chukizo kuu....ni kukengeuka kifikra na kimtazamo kumwelekea ibilisi, yaani unafanya ibada kwa ibilisi live....Watu weusi tuna maasi mengi kuliko hata ushoga, basi tu hua tunajiona wakipekew