Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

Kwa hiyo hawa wana agenda mbaya kama wale waarabu wa alshabaab?guility until proven innocent huu msemo una maana kubwa sana kwa vyombo vya usalama.
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Na mapadri wa kiroma na watu wa mihadhara nao waangaliwe kwa makini. Afrika ahitaji dini zaidi ya kujitambua na kuzipiga marufuku kwani zinatengeneza mataahira na wavivu.
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Utakuwa una mapepo sio bure. Au umesahau lile neno lisemwalo Injili itahubiriwa kila kona ya dunia kabla ya kurudi kwa masihi?. Hapo umejipalia makaa, ingekuwa heri kwako usingesikia hiyo mikutano.
 
Nilionya humu ndani kuhusu walokole na mikutano yao ya injili ya wazungu kwamba wataleta corona ,nikatukanwa na kubezwa na wafia dini,haya yako wapi? Corona namba 3 tayari imeshaletwa na wahubiri uchwara wenu
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Umechanja?!
 
Tumia ndimu/limao au tangawizi. Hali uliyo nayo itakuisha au itapungua. Huo ndo ushauri wangu.
 
Yaani mtu kama huyu utakuta ni CCM kweli kweli na alimaliza form four. Hajiulizi misaada ambayo tunaenda kuomba kwao mbona hatusemi kuwa wawasaidie huko huko kwao mbona nako kuna maskini. Yaani kuna watu wanatungusha sana sisi CCM mwishowe wote tunaonekana ni vilaza tu.

Hao wawekezaji tunaowaita na kuwabbembeleza waje ni kutoka wapi kwa asilimia kubwa?

Hao watalii wanaokuja mamia kwa maelfu wanatoka wapi?

Hivi vitu tunavyotegemea na chanjo zinatoka wapi?

Yaani wazungu washindwe kabisa kutuua kwa namna nyiiiingi zilizopo wahangaike na wahubiri kuja kusambaza Corona?

Wazungu hawaathiriki na lolote wewe usipo wakubali. Maana hata hawakutambui na hapo umekaa kwenye kochi la shemeji yako unaangalia TV zilizogunduliwa na wazungu. Umeshikilia remote na mkono mmoja unakuna korodani. Dada yako ndiye anakuweka mjini kupitia kwa mumewe.
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Kitu Mimi nashangaa... Yan mzungu anatoka kwao ulaya ambako
1. Kunaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wasioamini uwepo wa Mungu ( Atheist)
2. Inaongoza kwa kuwa na watu wanaompinga kristo (Satanist, Illuminati, Freemasons nk)
3. Inaongoza kwa watu watu walevi, ukahaba, mauaji nk
4. Inaongoza kwa watu kutoa mimba
5. Inaongoza kwa kuwa na ndoa za mashoga, na ushoga

Leo mtu anaacha kukaa huko ulaya na marekani ahubiri injili, anakuja Africa ambako watu hawana hayo mambo? Hivi hawa watu huwa najiuliza wanatuonaje? Wana akili kweli!?
 
Very primitive thinking man,always thinking someone has an agenda against you is another kind of mental disorder.
 
Kitu Mimi nashangaa... Yan mzungu anatoka kwao ulaya ambako
1. Kunaongoza kwa kuwa na idadi kubwa ya watu wasioamini uwepo wa Mungu ( Atheist)
2. Inaongoza kwa kuwa na watu wanaompinga kristo (Satanist, Illuminati, Freemasons nk)
3. Inaongoza kwa watu watu walevi, ukahaba, mauaji nk
4. Inaongoza kwa watu kutoa mimba
5. Inaongoza kwa kuwa na ndoa za mashoga, na ushoga

Leo mtu anaacha kukaa huko ulaya na marekani ahubiri injili, anakuja Africa ambako watu hawana hayo mambo? Hivi hawa watu huwa najiuliza wanatuonaje? Wana akili kweli!?
Jambo la kwanza wahubiri hawafanyi kwa matakwa yao wanaongozwa na roho wapi pa kwenda na wakahubiri nini kwa hiyo its not their choice where they go.Hapa tunavyozungumzwa kuna ambao wanachinjwa kila siku middle east lakini bado wanakwenda kwa kuwa its not their choice wanatumwa.(Najua hutaelewa kama kuna jambo linaitwa kuongozwa na roho kwa sababu only Christian believers can have a personal relationship with God and thats where instructions comes from).

Kwenye nchi za Europe na America wanapotoka watu wameshasikia message of the Gospel na wanaendelea kusikia kwa sababu kuna a lot of best preachers,studying materials and learning platforms unlike kwenye nchi zetu hizi masikini.
Wenzetu wanajifunza kupitia televisions,Internet,kuna best books available in all platforms,podcasts,Bible collages and others and what do we have ?Not much. We need them to come here and lend us a hand. Tunapozungumzia Tanzania usifikirie tu miji hii mikubwa kuna watu out there with serious lacking.
 
Ndugu zetu walokole tafadhari Sana mtaniwia radhi.

Ukizunguka mikoa na Miji mbalimbali hapa Tanzania kuna mikutano ya Injili iliyoandaliwa na makanisa ya Kilokole na wahubiri ni wazungu kutoka nchi zenye Korona,tuwe makini hawa huenda Wana ajenda ya Siri.

Hawa mabwana nchi zao zimepiga marufuku raia wetu kwenda kwao kwamba tutawapelekea covid 19 na wakati huo huo wameiblakilisti nchi yetu kama nchi hatarishi sasa iweje wawaruhusu raia wao eti kuja kueneza Injili kwenye nchi hatarishi?

Msije shangaa wimbi la tatu likazuka ghafla na biashara ya chanjo ikafanyika.

Sijawahi wakubali hao wazungu wenu,huko kwao kuna mashoga kibao na wengine ni viongozi wao kwa nini wasiwahubirie hao? Huku Afrika kuna nyumbu sana hadi inatia hasira.
Ila wangekuwa waarabu ingekuwa sawa?🙄
 
Jambo la kwanza wahubiri hawafanyi kwa matakwa yao wanaongozwa na roho wapi pa kwenda na wakahubiri nini kwa hiyo its not their choice where they go.Hapa tunavyozungumzwa kuna ambao wanachinjwa kila siku middle east lakini bado wanakwenda kwa kuwa its not their choice wanatumwa.(Najua hutaelewa kama kuna jambo linaitwa kuongozwa na roho kwa sababu only Christian believers can have a personal relationship with God and thats where instructions comes from).

Kwenye nchi za Europe na America wanapotoka watu wameshasikia message of the Gospel na wanaendelea kusikia kwa sababu kuna a lot of best preachers,studying materials and learning platforms unlike kwenye nchi zetu hizi masikini.
Wenzetu wanajifunza kupitia televisions,Internet,kuna best books available in all platforms,podcasts,Bible collages and others and what do we have ?Not much. We need them to come here and lend us a hand. Tunapozungumzia Tanzania usifikirie tu miji hii mikubwa kuna watu out there with serious lacking.
Kichaka kikubwa cha wakristu wengi ni " roho mtakatifu"...huyo roho mtakatifu utamsikia wakimuongelea kila mahali, ukiwa unasoma biblia utaambiwa huwezi elewa mistari mpaka uwe na roho mtakatifu, ukiomba utaambiwa mpaka uwe na roho mtakatifu wa kukuongoza.. lakin linapokuja suala la kutafsiri maneno ya wanaonena kwa lugha kama alivyoamuru Paulo..hutoona mtu ananena kwa lugha halaf mwingine anatafsiri kwa " roho mtakatifu" anayewaongoza. Huyo roho mtakatifu huwa anakimbilia wapi?

After all..neno huhubiriwa kwa wadhambi zaidi ili waache dhambi, na HAKUNA watu wana dhambi Kama wazungu. Eti hao wahubiri wanaenda vijijini... umewahi kuona mzungu gani ameenda kijijini kuhubiri na maspika zaidi ya huku mjini? Kitu ambacho hujui ni kwamba, toka kipindi cha kuingia ukoloni, wamisionary (ambao ndo wainjilist wa leo) ndo walikuwa wanatangulizwa na wakoloni ( paving the way)kuwafanya wajinga waafrika ili wao waje watawale.

Hata hawa anaosema sasaiv ni wahubiri wanaoongozwa "na roho wa Mungu" wengi wao ni majasusi wanaokuja kwa malengo maalumu. Waafrika mpaka lini mtaacha ujinga wenu na kuuona uovu wa mzungu? Kama dini ni nzuri sana, na wao ndo tunaamini wameendelea na wana akili nyingi, kwanini Wai hawaitaki hiyo dini? Kwanini hushtuki tu?Pole sana
 
I bet ungekuwa mkristu ambaye ameshawahi kuexperience presence ya roho mtakatifu even once kwenye maisha yako ungeelewa.Its a pity living your life and not experiencing the power of the Holy spirit in your life.

Its normal for those who don't feel it to lash out and say it doesn't exist but my friend it does and The Holy Spirit is real.

I repeat for Christian believers who are saved understand this because they experienced it already.There are still hope for you and everyone who still lives.God loves you.

Jesus promised all of us The Holy Spirit.The only condition to receive it is to believe in him and be saved.The Good thing is that for you to be saved you must already have been touched by The Holy spirit.So you will already have the taste of him.

Jesus Loves You.God Loves You.
 
Ni kama walivyotuletea hizi dini, kumbe waliokuwa na lao jambo. Walituachia Biblia wakaondoka na utajiri wa Afrika.
 
I bet ungekuwa mkristu ambaye ameshawahi kuexperience presence ya roho mtakatifu even once kwenye maisha yako ungeelewa.Its a pity living your life and not experiencing the power of the Holy spirit in your life.

Its normal for those who don't feel it to lash out and say it doesn't exist but my friend it does and The Holy Spirit is real.

I repeat for Christian believers who are saved understand this because they experienced it already.There are still hope for you and everyone who still lives.God loves you.

Jesus promised all of us The Holy Spirit.The only condition to receive it is to believe in him and be saved.The Good thing is that for you to be saved you must already have been touched by The Holy spirit.So you will already have the taste of him.

Jesus Loves You.God Loves You.
Nimekuuliza wewe na huyu mchungaji wako, na nabii wako, kuna mmoja kati yenu anayeweza kutafsiri pale mtu ananena kwa lugha? Au hiyo holy Spirit yenu mnaipata kipindi cha kusoma biblia tu kuelewa mistari
 
Back
Top Bottom