Wazungu kuja kufanya mikutano ya Injili ya Kilokole litazamwe kwa umakini

Kunena kwa lugha kupo kwa namna mbili kuna kunena kwa lugha kwa maana ya ku-prophecy ambapo atahitajika awepo wa kutafsiri na hii ni kwa ajili ya kanisa(kundi la watu) na kuna kuna kunena kwa lugha kwa ajili ya individual edification.Paul made it very clear.

Kama mtu ananena kwa lugha for the sake of edification then there is no need for intepreter na kama ananena for the sake f congregation yes there will be an intepreter among them.

So kama hujaona intepreters kwenye tongues ambazo watu wananena basi ni kwasababu wananena kwa ajili ya edification na sio congregation.
 
Wanamsemo wao, usemao:" He who laughs, the last laughs longer!" Tujihadhari nao haswa, isije ikawa msiba wa wengi, kugeuka harusi!
Hiyo koma ya kwenye sentensi ya kiingereza imekaa mahala si sahihi
 
The colonial agendas have not changed....and they will never change....keep that in mind boy
 
Ondoa shaka kabla awajapanda ndege upimwa na wakiingia upimwa pia.
Corona imeshapita ile ilikuwa ni ajenda ya darksiders lengo kuwachukua watu waliowataka na kuporomosha uchumi wa dunia kwa malengo ya New World Order
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…