‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906
Salaam Wakuu,

Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitendo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao.

Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro.

Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aambiwe avute subira japo hadi 2030

IMG_20220611_210622_608.jpg

 
Salaam Wakuu,

Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitrndo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao.

Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro.

Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aasmbiwe avute subira japo hadi 2030
View attachment 2257738
Yani CCM ni wapumbavu kiwango cha mwisho, unamuuzia mtu eneo avune wanyama halafu unasema muwekezaji? CCM ni sawa na mbupu la shoga
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.

Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.

Huko ukanda wa Gaza nako kuna kumbe kuna Maasai land na trophy hunting eh? Wengine hatukujua!
 
Ukiwaangalia hao kwenye picha unaona hata kuna anayeijua hiyo Tanzania yenyewe.... Wamewachukua Homeless wamewapa vidola sijui chakula eti Wazungu wamepinga,

Aibu!!!
Inawezekana unayosema ni sahihi, tatizo hujaambatanisha ushahidi. Ni hisia zako tu. Ila Ujumbe umefika. Bora wewe hujasema ni Palestina. Ni ngumu kukubali ukweli.
 
Back
Top Bottom