‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

Mkuu na hilo bango la Save maasai lives ilo pia ni la kule Ujerumani wakipinga ulaji wa wanyama aina ya Mwasai inayopatika Berlin.

Ngorongoro kuko shwari.
 
Salaam Wakuu,

Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitrndo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao.

Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro.

Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aasmbiwe avute subira japo hadi 2030
View attachment 2257738
View attachment 2257806
Astaghafillullah !!
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.

Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Hizo bango zingine zimezoandikwa Tourism na Hunting nayo ni Palestine?
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.

Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Hata kama huna akili usijiabishe hivi mbele ya kadamnasi Palestina na Maasai correlation iko wapi labda ungesema picha ziko photoshopped.
 
Kiukweli Serikali imebugi kuwaamisha wamasai huu ndo ukweli japo watatumia nguvu kuwaondoa
 
Wewe utakuwa una wazimu kichwani kama hakishuki hadi tumboni!
Kuna taarifa kwamba Waarabu wamemwaga hela kama mchanga ili watetewe , nimedokezwa kwamba hata mimi nilisakwa sana ili nipewe mpunga lakini sikupatikana , sijui walinisakia wapi wallah !! unaambiwa hela wanayotoa ni sawa na kukatwa vidole 100 Zimbabwe !!

Hatari kubwa !
 
Back
Top Bottom