figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Uko Palestina kuna wamasai, naona bango la mwisho limewataja mkuu."Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.
Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Yani CCM ni wapumbavu kiwango cha mwisho, unamuuzia mtu eneo avune wanyama halafu unasema muwekezaji? CCM ni sawa na mbupu la shogaSalaam Wakuu,
Wale Wazungu waliotegemewa kuja Tanzania baada ya Movie ya Royal Tour, wamepinga Kitrndo cha Wamasai kuhamishwa kwani Ngorongoro ni ardhi yao.
Kama mnavyojua, Peter alitembezwa kwenye maboma ya Wamasai Ngorongoro.
Nasisitiza, kama kuna Mwarabu anataka kuwekeza Loliondo, aasmbiwe avute subira japo hadi 2030
View attachment 2257738
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.
Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Na hiyo give masai land ni Palestina pia?"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.
Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Kweli, unatumia Masaburi kusoma? Palestina kuna Maasai?Uko palestina kuna wamasai, naona bango la mwisho limewataja mkuu
Inawezekana unayosema ni sahihi, tatizo hujaambatanisha ushahidi. Ni hisia zako tu. Ila Ujumbe umefika. Bora wewe hujasema ni Palestina. Ni ngumu kukubali ukweli.Ukiwaangalia hao kwenye picha unaona hata kuna anayeijua hiyo Tanzania yenyewe.... Wamewachukua Homeless wamewapa vidola sijui chakula eti Wazungu wamepinga,
Aibu!!!
Hahahaaa....! Ile dawa ya tumbo. NiliitumiaWamasai wameng'ang'ania wanatka kuendlea kuchimba kongolaa
Waje watuuzie buku tatu tatu mjini
BalaaaNa hiyo give masai land ni palestina pia?