‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

Mkuu na hilo bango la Save maasai lives ilo pia ni la kule Ujerumani wakipinga ulaji wa wanyama aina ya Mwasai inayopatika Berlin.

Ngorongoro kuko shwari.
 
Astaghafillullah !!
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.

Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Hizo bango zingine zimezoandikwa Tourism na Hunting nayo ni Palestine?
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inahokaliwa kimabavu na waisraeli.

Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Hata kama huna akili usijiabishe hivi mbele ya kadamnasi Palestina na Maasai correlation iko wapi labda ungesema picha ziko photoshopped.
 
Kiukweli Serikali imebugi kuwaamisha wamasai huu ndo ukweli japo watatumia nguvu kuwaondoa
 
Wewe utakuwa una wazimu kichwani kama hakishuki hadi tumboni!
Kuna taarifa kwamba Waarabu wamemwaga hela kama mchanga ili watetewe , nimedokezwa kwamba hata mimi nilisakwa sana ili nipewe mpunga lakini sikupatikana , sijui walinisakia wapi wallah !! unaambiwa hela wanayotoa ni sawa na kukatwa vidole 100 Zimbabwe !!

Hatari kubwa !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…