Kiukweli serikali imebugi kuwaamisha wamasai huu ndo ukweli japo watatumia nguvu kuwaondoa
Imebhugi wapi?Tatizo nyie Masai ni wa binafsi hamna nia njema na Serikali yetu ya kuwatunza wanyamapori kwa ajili ya generation na generations zijazo nyie mnawaza maziwa na ming'ombe yenu,hamtaki vitukuu vyenu vije vishuhudie urithi huu wa kipekee wa kidunia,nendeni Msomela Handeni Tanga mbona kuna malisho ya nyama zenu?
Kumbuka zamani mlikuwa mnaruhusiwa kuingiza mifugo ndani ya kreta kwa ajili ya mifugo yenu kunywa maji but mkawa mnaingiza makundi makubwa ya mifugo bila utaratibu,taratibu wanyama walao nyama simba wakaanza kuwa adimu/kupatikana kwa shida ndani creta kwa sababu ya uoga.Uhifadhi kwa kuona hili ukawapiga marufuku kutoingiza mifugo ndani creta,leo tunashuhudia sharubu wamezagaa kila kona ya creta,zamani sharubu walikuwa wanaoneka barabara kuu but nyie mmetishia maisha yao wote wamerudi chini,wageni wanakutana na mikondoo,ming"ombe,mimbwa,mimbuzi,mipunda kihongwe,mapaka yenu barabara kuu,sasa huu ni utalii gani?
Bado watoto na vijana wenu wanakaa barabarani wanaomba wazungu chakula na maji ya kunywa"pliizii give me fudi".
Tokeni,waachie wanyamapori wajinafasi ndoo maana Mwingereza aliwafukuza Serengeti alijua kabisa nyie baadae mtakuwa tatizo ila akaona awasogeze karibu na lango la kutokea Karatu ili Karatu maisha yawashinde msogee manyara means kwa kusogea huko kwa miaka ile mngekulikuwa tayari mpo Handen tena kwa miguu sema mlibweteka,kenge nyie.