‘Wazungu wa Royal Tour’ wapinga Wamasai kuhamishwa

Wazungu ni bora kuliko sisi?
 

Duuuu !!!
 
Haya mambo watu wanayachukulia kama mzaha, lakini ni mambo serious kabisa. Tunarudishwa kwenye utumwa/ukoloni hivi hivi huku tukikenua meno!
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inayokaliwa kimabavu na waisraeli.
Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Also nashangaa hizo picha hazionyeshi ni maasai wa wapi nani tukio gani, ila wadau wanapandisha mapicha JF, tweeter nk kuaminisha watu.
 
Msishabikie siasa chafu mnaaribu kazi kubwa inayofanywa na serikali
Wamasai hawawez kuendelea kubak ngorongoro kwa idadi ile
Kuhamisha makazi ni kitu cha kawaida

Mara ya mwisho wewe na kabila lako zima kuhamishwa ilikua lini ?
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inayokaliwa kimabavu na waisraeli.

Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Kuna bango limeandkwa hapo"save Masai lands"
Kumbe palestina Ina wamasai....Safi Sana
 
Ukiwaangalia hao kwenye picha unaona hata kuna anayeijua hiyo Tanzania yenyewe.... Wamewachukua Homeless wamewapa vidola sijui chakula eti Wazungu wamepinga,

Aibu!!!
UMEJUAJE?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
"Give their land back" hii ni kampeni ya wapelestina kudai ardhi yao inayokaliwa kimabavu na waisraeli.

Haihusiani na Ngorongoro. Ngorongoro kuko shwari.
Tumekushusha cheo kutoka kwenye upunda na kwa comment yako hii wewe ni kiazi mbatata!
 
Ina maana wewe hujui tofauti ya eneo la Ngorongoro Crater na Loliondo? Si ungekaa kimya tu
 
Ina maana wewe hujui tofauti ya eneo la Ngorongoro Crater na Loliondo? Si ungekaa kimya tu
Naona hajui tofauti ya hayo maeneo ngoja tumueleweshe,kwanza kabisa Ngorongoro ni wilaya ambapo makao makuu ya wilaya hii yapo Loliondo Tarafa ya Loliondo jina la wilaya limetokana na kuwepo kwa eneo la kivutio cha crater ya Ngorongoro kilichopo Tarafa ya Ngorongoro ambayo ipo chini ya Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro wakati eneo la Loliondo ni pori tengefu hayo ni maeneo mawili tofauti na issues zao zipo tofauti. Sheria iliyoanzisha Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro iliruhusu uhifadhi na ufugaji wakati ule idadi wa watu katika eneo hili ilikuwa ndogo sasa hivi watu katika eneo hili wameongezeka sana kiasi cha kutishia uendelevu wa uhifadhi serikali ilikuwa na uamuzi wa kunyoa au kusuka,kuwaacha watu waendelee kuongezeka na kuua uhifadhi au kupunguza idadi ya watu katika eneo hili ili uhifadhi uendelee sambamba na ufugaji?
 
Mkuu wameniuzia kongolaa bora ningekunywa mchuz wa pweza. Hawa jamaa wanaharib miti yetu bure dawa zenyew hawazijui

[emoji23][emoji23]
Hawa ni masalia ya wamasai
Siku hizi unaweza kuta mzaramo kavaa shuka la kimasai na kazi inaenda
Utauziwa mpaka mkaa na chaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…